Uchaguzi 2020 Kampeni Bahi: Dkt. Magufuli asema miaka mitano ilikuwa ni onjaonja, hiyo yenyewe ndio inakuja

Uchaguzi 2020 Kampeni Bahi: Dkt. Magufuli asema miaka mitano ilikuwa ni onjaonja, hiyo yenyewe ndio inakuja

Hivi mnajua ndio saa kumi na mbili kulala ni kulala kweli?
 
Vipi Diamond atakuwepo ?
Bashiru kasema hakuna tena cha kutembea na wasanii saa hivi watakuwa na timu yao ile ya T.O.T na mkoa ambao wataenda watagumia wale wasanii wa ngoma za asili tuu
 
Watumishi wa umma waliotia Nia kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kupita CCM na kukatwa mishahara Yao yote ya mwezi July na August 2020 hawataruhusiwa kuhudhuria mikutano ya kisiasa. Ila wataruhusiwa kupiga kura tu. TL mungu akupe nguvu
Acha uongo labda waolitia nia kupitia Saccos
 
Kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika dodoma wale waliokua wana perfom ni kina nani? Sio wasanii wale? Uliwaona T.O.T Band pale hata mpiga kinanda mmoja?

Wewe mchakato wa uchaguzi mkuu 2020 ndani ya ccm ulianza lini? Rudia kunisoma na maangalizo niliyotoa.

Awamu iliyopita wasanii walitumiwa na CCM na viongozi wao hata katika shughuli za ngoma za vigodoro. Chama kikongwe dunia kama CCM kilikuwa na shs 5M. Kikitaka kufanya jambo lolote lazima kutafuta wafadhili wa kuwa lamba miguu.
 
Hahahaha kwamba miaka mitano zaidi ya mateso, uminywaji wa haki , uhuru wa vyombo, watu kutekwa, makesi yakijinga, n.k??

Ama kweli Tundu Lissu, anatakiwa kuitwa NABII.
 
Ndiyo maana anafanya kampeni bila presha tumezindua kampeni tarehe 29/08/20219 tumepumzika siku 2 na leo ndiyo tunaendelea na kampeni .
Safi kabisa. Hana haja ya kufanya kampeni kwa presha
 
Hahahaha kwamba miaka mitano zaidi ya mateso, uminywaji wa haki , uhuru wa vyombo, watu kutekwa, makesi yakijinga, n.k??

Ama kweli Tundu Lissu, anatakiwa kuitwa NABII.
hana jipya zaidi ya kumchukia mtu ambaye hata hana time naye.
 
Jiwe hana jipya! Piga chini huyu mfokeaji!Ni makosa makubwa kumrudisha madarakani!
 
Mwambie asitudanganye sisi sio wapumbavu kiasi hicho ngoja asubirie aone maamuzi ya alio waita wanyonge ni zaidi ya wajumbe haaahaaa
 
Back
Top Bottom