Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa


Mkuu ni kama vile ulikuwepo eneo la tukio, hebu tupe ukweli wa kilichojiri.
 
Watu wazima kama mapunguani wa akili wanalazimisha picha kama mpasha habari hajawa na simu ya kiwango asirushe habari muhimu! na kama mazingira aliyokuepo hayakumruhusu kuchukua picha afanyaje?Mbona mnaletewa picha za kugushi humu mnaamini huyu ndugai kapiga mtu haijalishi kwa fimbo,gongo,rungu au chochote kîle kikubwa kafanya jinai anasthili kushitakiwa.
 
Hii sasa ni zaidi ya mnara wa Babel. Maana kule walishindana kauli sasa ccm mpaka ngumi zinapigwa? Mbona hivyo vyama vichanga kama wanavyoita wao mambo yanaenda smoothly bila ngumi?
Hii ni dalili.mbaya sana kwa ccm na hasa ukichanganya na na yaliyotokea Jana huko Bahari Beach basi ni balaa.
 
Wataisoma namba
T 2015 CDM
T 2015 CUF
T 2015 NCCR
T 2015 NLD
T 2015 UKAWA
Mtazisoma hizo
 
Ndio maana nakupendaga maana mimi na wewe hatupingani.
Uchaguzi mwaka uu si mchezo na ni mgumu kwa chama tawala, wananchi wameamka sana kwa kipindi hiki.
Nadhani Tanzania inatoka stage moja kwenda nyingine.
Loh mwaka uu ni hatari
 
Reactions: G3T
Kangi lugola nae kamzimisha mtu na mabanzi ya kutosha. Mwaka huu watauana
 
Mtiania katika ubora wake
 

Attachments

  • 1438155428671.jpg
    32.8 KB · Views: 329
oneni ndugai alivyomfanya mgombea mwenzake ,kampiga na gongo
 

Attachments

  • 1438155458648.jpg
    55.6 KB · Views: 312
Khaaakhaaaaa, aisee badala wagombee kuingia ukawa wao wanagombania chama chakavu, au ni mabingwa wa kuzika?
 
"Atakayejaribu kupambana na mimi kwenye kura za maoni nitampasua" by Kagasheki.
 
Daa Ile kauli ya NA "WAPIGWE TU" sasa imefikia kwenye lengo lake haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…