Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Ficha panga lako sehemu salama tukutane October kuichinjia mbali CCM.Uchaguzi mwaka uu si mchezo na ni mgumu kwa chama tawala, wananchi wameamka sana kwa kipindi hiki.
Nadhani Tanzania inatoka stage moja kwenda nyingine.
Loh mwaka uu ni hatari