Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

Kama Wassira, Kangi na Ndugai hawatatolewa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge.
CCM inaendeleza sera zake za kuvunja sheria.
 

Mkuu umesema ukweli kabisa..naunga mkono hoja
 
Hutoweza kuamini kuwa hakuna mtu mwenye uwezo wa kuchukua hatua ndani ya CCM,haya yanayotokea tunayaona kwingine maana hata Nyalandu aliwabebesha watoto wa shule mabango kitu ambacho hakikubaliki lakini huoni mtu akichukua hatua.Ni vigumu sana kuona CCM wakishughulikiana na ndio maana tunaona uozo kila siku.
 

acha usengerema wewe! hivi gongo ukipigwa mgongoni unavimba? labda ungeuliza kupigwa sehem gani ya mwili kabla ya kuconlude kumwita mletamada mwongo!
 
wanaoshabikia ccm wana matatizo ya uelewa wa haki za watanzania, ni upuuzi kuwa ccm hadi leo hii, hasa kwa watu wenye kaelimu kidogo
 
Laana ya kunyanyasa wapinzani hasa Mh. Sugu imeanza kumuandama.
 
hahahah huyu ngoja kwanza takukuru wamnyooshe...sisiem hawajui karma z bytch..

Hahahaha u made my day mkuu.. umepata clip ya mark mwandosya lakini(Magufuli ajawai kuwa mwenyekiti mkoa,wilaya,kijiji,mtaa,kata,ata tawi leo ndyo aje kuwa mwenyekit wa ccm taifa?!!! by mark mwandosya clip)
 
Hakuna video tuona huo mtama uliozimisha kama ni sawa na ule wa Kalokola?

aisee mi ninayo ila nashindwa kuituma chaa ile fimbo si ya kuchezea jamanii...nahis jamaa akiamka kumbukumbu zote zitafutika..hahahah hadi october watatoana kafara wenyewe kwa wenyewe
 
Hahahaha u made my day mkuu.. umepata clip ya mark mwandosya lakini(Magufuli ajawai kuwa mwenyekiti mkoa,wilaya,kijiji,mtaa,kata,ata tawi leo ndyo aje kuwa mwenyekit wa ccm taifa?!!! by mark mwandosya clip)
hahahah nimeshaisikia ulishawahi kusoma kile kitabu cha things fall apart...hahah kakirudie naona wameanza kuanikana wenyewe kwa wenyewe...hii hatari mkuu hadi lowasaa kasema sisiem si ya baba angu kimenuka hahahaah tutarajie mengi mie kadi yao narudisha...nishachafukwaa SIMBA45
 
Mkikatwa kwenye tume ya maadili mnakuwa mbogo sasa mkatwe majukwaani kwa makonde, JK angepeleka majina yote kamati kuu wote wajieleze hizi kelele zote zisingekuwepo, sidhani kama angewazidi Dr.Mahiga Gen.Ramadhani Dr.Magufuli Dr.Migiro kwenye kujieleza na kiharusi chake.
 

Hii ni demokrasia ya ubavu!
 
Ubunge una hela, wengine wanaomba kuungwa mkono kura za maoni kwa kuwapigia magoti wananchi, kazi wanayo wana ccm 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…