Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Kazi ya machawa ni kukosoa.?
Kazi ya chawa ni Kusifia hata ujinga, ila wewe hutaki kuzisikia sifa na unajaribu kuzima uhuru wao, sasa imagine ungekuwa na jeshi linaloweza kuwateka na kuwapaka mafuta.
 
😆😆😆Mkuu punguza ukali wa Maneno, Hakuna mtu mpumbavu kwa anachokiamini
 
Upande wa Haki ni upi Huo ambapo uko? unaosema No reform no Election au huo mwingine tunaojua Nani atakuwa raisi kabla ya kupiga kura?
 
Upande wa Haki ni upi Huo ambapo uko? unaosema No reform no Election au huo mwingine tunaojua Nani atakuwa raisi kabla ya kupiga kura?
Popote pale wanaopigania haki, hata wakiwa n ccm
 
Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…