Kampeni ya Ku-unfollow wasanii inayoendeshwa na Mange Kimambi imeleta athari ya chini ya 0.2%

Kwa hiyo unadhani izo account zote ziko active?

We kweli famba kweli. Hapo kuna watu wamekufa, kuna watu wako hospitalini na kuna watu hawatumii tu hizo account.

So hao walio unfollow ndo account ambazo zipo active na zinapush biashara zao.
 
naona unajitengenezea furaha 🤣🤣🤣
 
Wewe kumbe mwe..hu
 
Acha uongo mange hakusema watu wa unfollow mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…