barakaglory
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 481
- 474
Duuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujipendi dadaAtatupiga ban tuki mphont phage
kumbe eekukosoa ni jambo la kawaida
Sahihi.Mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri, kusoma na kuweka kumbukumbu kama JPM hawezi kukosa humu ninachotamani ni yeye kuingia kwa jina lake halisi na akaanzisha uzi wa :KATIKA UTAWALA WA AWAMU HII NINI UNGEPENDA NIFANYE, hapa angepata mawazo sahihi yasiyo ya woga
hahahahahJamiiforums bana....unaweza kuta muanzisha mada ndie sizonje mwenyewe
Mbona Twitter watu wapo huru anapo post chochote?Nashauri aendelee hivyo hivyo id feki kama kweli anayo! Cha msingi anasoma yanayojiri humu.. Akiwa na id verified kuna uhuru humu utapotea, hata mods watakuwa wanafutafuta threads na kurekebisha rekebisha, hii itakuwa inaondoa uoriginal wa michango ya wana jf.