Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hivi ni kweli alirudi tanzania?Possibility ya kuwa hayupo tena katika ulimwengu wa mwili ni kubwa sana
Tetesi zinasema ndugu balozi alirudi nchini na alikuwa nyumbani kwake maeneo ya bahari beachHivi ni kweli alirudi tanzania?
Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.
Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.
Msipuuze taarifa hii.
Hoja yangu ni hii,je alirudi kabla ya kujiuzulu ubalozi,au baada ya kujiuzulu?Tetesi zinasema ndugu balozi alirudi nchini na alikuwa nyumbani kwake maeneo ya bahari beach
Unaijua V8 wewe?
Life is bitchUnaijua V8 wewe?
baada ya kujiuzuluHoja yangu ni hii,je alirudi kabla ya kujiuzulu ubalozi,au baada ya kujiuzulu?
Hivi ni kweli alirudi tanzania?
He is dead 😔
Ilikuwaje mwambaNilikua siamini mambo ya kishirikina ila kwa jinsi nilivyoona Wazuru waliomuua Mzimbabwe huyo Pole pole kazi ni ndogo kabisa kwa Washona aisee..
Kuna wazulu walimuua dogo mmoja kwenye ugomvi huko bar baadae watu wakaingilia wakayamaliza aisee usiku wale wahuni jamaa akiwa anatoka nje wakamchapa risasi akafa hapo hapo Wazimbabwe waliposikia wakaenda eneo la tukio wakapiga simu ambulance ikachukua maiti wao wakaanza kulinda ile damu pale na walimwagia maji na vumbi vumbi kidogo mpaka siku maiti inasafirishwa kurudi Zimbabwe ndio wakasafisha pale na kuchukua ile damu na lile vumbi likasafirishwa pamoja na ile maiti..haikuchukua hata mwezi wale wauaji walikua wanne wengine walikufa wengine ni vichaa kabisa mpaka leo...nilipowaambia mnasikia huko Tanzania watu wanatekwa harafu haijulikani walipo wanasema waambie waende Masvingo hapo na nguo za aliektekwa wakiamua kuua ukoo wanafanya hivyo au wahusika tu hakuna watu wanaogopwa kuuawa kama Wazimbabwe hapa ila kama Mzimbabwe akiiba akiuawa hata aende wapi hakuna kitu kinatokea ila wanaouawa bila hatia mbona ni dakika kadhaa tu..Ilikuwaje mwamba
Ova