Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Aliko tesha huwend polepole yuko huko huko. Kama ni juu ya ardhi au chini ya ardhiI wish mwamba Bado mzma wa afya
Aliko tesha huwend polepole yuko huko huko. Kama ni juu ya ardhi au chini ya ardhiI wish mwamba Bado mzma wa afya
Do I sound like of them?Are you really sane person? do you know me? have you ever followed up my postings for the period of more than 5 years?Do not just jump into conclusions without following up somebody's postings.Sasa turudi kiswahili maana niliandika kwa kiswahili,yawezekana wewe ni mbumbumbu mzunguka reli.Nimeuliza hivi alirudi kabla au baada ya kujiuzulu? kwa sababu,balozi hawezi kurudi nchini kwake bila kuomba kibali wizara ya mambo ya nje na akifanya hivyo atazuiwa eapoti mpaka maofisa wa wizara ya nje watoe kibali,pili kama alijiuzulu ndipo akarudi kwa vyovyote angekamatwa eapoti,sasa kwa mazingira hayo,ndipo nilipouliza hilo swali.Kwa kuuliza hivyo mimi ntakuwaje one of them wakati maisha yangu yote nimeishi nje ya nchi,sijawahi kufanya kazi yoyote Tanzania,sina nasaba yoyote na watu wa siasa?Punguza kuvuta bangi kupitia matakoniYou sound like one of them. What are you trying to hide?
You still sound like them.Do I sound like of them?Are you really sane person? do you know me? have you ever followed up my postings for the period of more than 5 years?Do not just jump into conclusions without following up somebody's postings.Sasa turudi kiswahili maana niliandika kwa kiswahili,yawezekana wewe ni mbumbumbu mzunguka reli.Nimeuliza hivi alirudi kabla au baada ya kujiuzulu? kwa sababu,balozi hawezi kurudi nchini kwake bila kuomba kibali wizara ya mambo ya nje na akifanya hivyo atazuiwa eapoti mpaka maofisa wa wizara ya nje watoe kibali,pili kama alijiuzulu ndipo akarudi kwa vyovyote angekamatwa eapoti,sasa kwa mazingira hayo,ndipo nilipouliza hilo swali.Kwa kuuliza hivyo mimi ntakuwaje one of them wakati maisha yangu yote nimeishi nje ya nchi,sijawahi kufanya kazi yoyote Tanzania,sina nasaba yoyote na watu wa siasa?Punguza kuvuta bangi kupitia matakoni
it is your birthday today agizia dorime,bili ya ali,hakikisha hiyo bili asipewe mwingineYou still sound like them.
Okit is your birthday today agizia dorime,bili ya ali,hakikisha hiyo bili asipewe mwingine
Nimesoma Facebook eti Polepole yupo Ukonga next to Tundu Lissu lakini kachakaa ile mbaya makucha marefu na minywele mingi kama Nsyuka