Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Tabia za wabongo tulio wengi, always loooking for someone to blame..
Tabia za wabongo tulio wengi, always loooking for someone to blame..
Kwani polepole alirejea lini NchiniLucas Mwashambwa tupe muongozo kada mwandamizi
Kwahyo mtu akirejea nchini lazima akupe taarifa?Kwani polepole alirejea lini Nchini
Alirudi mkuu.Mimi natilia mashaka sana iwapo polepole alirudi Tanzania baada ya kujiuzulu
Msako wa kimya kimya sahivi si unaona jeikei haonekani.Hivi na yule kaka yake Polepole yule mwanajeshi mbona naye hasikiki siku hizi au naye wamepita naye
Kabla mkuu.Hoja yangu ni hii,je alirudi kabla ya kujiuzulu ubalozi,au baada ya kujiuzulu?
Jibu swali languKwahyo mtu akirejea nchini lazima akupe taarifa?
Nipe namba zao mkuuKuna wazulu walimuua dogo mmoja kwenye ugomvi huko bar baadae watu wakaingilia wakayamaliza aisee usiku wale wahuni jamaa akiwa anatoka nje wakamchapa risasi akafa hapo hapo Wazimbabwe waliposikia wakaenda eneo la tukio wakapiga simu ambulance ikachukua maiti wao wakaanza kulinda ile damu pale na walimwagia maji na vumbi vumbi kidogo mpaka siku maiti inasafirishwa kurudi Zimbabwe ndio wakasafisha pale na kuchukua ile damu na lile vumbi likasafirishwa pamoja na ile maiti..haikuchukua hata mwezi wale wauaji walikua wanne wengine walikufa wengine ni vichaa kabisa mpaka leo...nilipowaambia mnasikia huko Tanzania watu wanatekwa harafu haijulikani walipo wanasema waambie waende Masvingo hapo na nguo za aliektekwa wakiamua kuua ukoo wanafanya hivyo au wahusika tu hakuna watu wanaogopwa kuuawa kama Wazimbabwe hapa ila kama Mzimbabwe akiiba akiuawa hata aende wapi hakuna kitu kinatokea ila wanaouawa bila hatia mbona ni dakika kadhaa tu..
Si mlikuwa mnatwambia kuwa yupo sijui sweeden, sijui wapi huko nje...Kwahyo mtu akirejea nchini lazima akupe taarifa?
Hatuna serikali mkuu, tuna vibaka ambao siku zao zinahesabika.Pole polepole.najua uliteseka sana ila Haki yako utaipata tu.hata kama sio Leo au kesho.
Endelea kupumzika huko ulipo.
Inawezekana vipi nchi kama Tanzania mtu akapotezwa na asionekane mpaka Leo na tuna serikali?
Inabidi tupate msaada wa hii technologyKuna wazulu walimuua dogo mmoja kwenye ugomvi huko bar baadae watu wakaingilia wakayamaliza aisee usiku wale wahuni jamaa akiwa anatoka nje wakamchapa risasi akafa hapo hapo Wazimbabwe waliposikia wakaenda eneo la tukio wakapiga simu ambulance ikachukua maiti wao wakaanza kulinda ile damu pale na walimwagia maji na vumbi vumbi kidogo mpaka siku maiti inasafirishwa kurudi Zimbabwe ndio wakasafisha pale na kuchukua ile damu na lile vumbi likasafirishwa pamoja na ile maiti..haikuchukua hata mwezi wale wauaji walikua wanne wengine walikufa wengine ni vichaa kabisa mpaka leo...nilipowaambia mnasikia huko Tanzania watu wanatekwa harafu haijulikani walipo wanasema waambie waende Masvingo hapo na nguo za aliektekwa wakiamua kuua ukoo wanafanya hivyo au wahusika tu hakuna watu wanaogopwa kuuawa kama Wazimbabwe hapa ila kama Mzimbabwe akiiba akiuawa hata aende wapi hakuna kitu kinatokea ila wanaouawa bila hatia mbona ni dakika kadhaa tu..
Wale waliotekwa na kupotezwa ndugu wangeonda huko masvingo mbona geshi la polish lingependeza sana.Kuna wazulu walimuua dogo mmoja kwenye ugomvi huko bar baadae watu wakaingilia wakayamaliza aisee usiku wale wahuni jamaa akiwa anatoka nje wakamchapa risasi akafa hapo hapo Wazimbabwe waliposikia wakaenda eneo la tukio wakapiga simu ambulance ikachukua maiti wao wakaanza kulinda ile damu pale na walimwagia maji na vumbi vumbi kidogo mpaka siku maiti inasafirishwa kurudi Zimbabwe ndio wakasafisha pale na kuchukua ile damu na lile vumbi likasafirishwa pamoja na ile maiti..haikuchukua hata mwezi wale wauaji walikua wanne wengine walikufa wengine ni vichaa kabisa mpaka leo...nilipowaambia mnasikia huko Tanzania watu wanatekwa harafu haijulikani walipo wanasema waambie waende Masvingo hapo na nguo za aliektekwa wakiamua kuua ukoo wanafanya hivyo au wahusika tu hakuna watu wanaogopwa kuuawa kama Wazimbabwe hapa ila kama Mzimbabwe akiiba akiuawa hata aende wapi hakuna kitu kinatokea ila wanaouawa bila hatia mbona ni dakika kadhaa tu..
Sasa mb zimemuishia huko sweden, nyie mko huko mashenzini eti katekwa...Kmmk
Keratombaa una vituko..Sasa mb zimemuishia huko sweden, nyie mko huko mashenzini eti katekwa...
ok kwahiyo alitangaza kujiuzulu akiwa hapa Tz? Lakini navyojua ofisa mwenye cheo cha ubalozi akirejea nchini kwake bila taarifa kwa viongozi wake ni lazima atazuiwa eapoti na wakubwa kujulishwa.Hivyo sidhani kama polepole alirudi TanzaniaKabla mkuu.
Huo ni uongo wa vijiweni mkuu. Polepole alikuwa hapa nchini na passport yake aliirejesha Anna Makakala anajua hili.ok kwahiyo alitangaza kujiuzulu akiwa hapa Tz? Lakini navyojua ofisa mwenye cheo cha ubalozi akirejea nchini kwake bila taarifa kwa viongozi wake ni lazima atazuiwa eapoti na wakubwa kujulishwa.Hivyo sidhani kama polepole alirudi Tanzania