Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.

Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.

Msipuuze taarifa hii.
Usihangaike kupoteza muda wako, Polepole alishaungana na Magufuli huko ahera.
 
Tetesi zinasema ndugu balozi alirudi nchini na alikuwa nyumbani kwake maeneo ya bahari beach
Thibitisha kwa kuonyesha ukurasa wa kitabu cha passport ya Polepole uliogongwa muhuri wa kuingia nchini kupitia Airport/ Mpaka gani na tarehe ipi?
 
Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.

Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.

Msipuuze taarifa hii.
Hii issue ndogo sana nikutumia sayansi ya asili mnaita wazee wanakaa mnawauliza je mwamba yupo hai au hayupo hai wakijibu yupo hai basi mnawambia wazee tunaomba waliomchukua wamrudishe fanyeni mnavyoweza yani wazee wajifungie siku saba tu mwamba mnamuona tatizo mnadharau mila na tamaduni
 
Unakumbuka yule aliyetoa oda pale mahakama ya K'koo siku saba km hukumu haitabadirika basi atazikwa.

Baada ya siku saba jamaa akazikwa. Sasa yule ndio wa kumpa kazi. Aliyemshika polepole, aliyeingia ndani na nje wooote na wanamijifadhi woote

Mbona polisi misiba ingekuwa ya kumwaga. REJESHO HURU
 
Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.

Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.

Msipuuze taarifa hii.
Hii kampeni inaweza kuwaongeza kina Polepole wakawa maelfu.

Yani ni gia nzuri sana ya kutumika na watawala kuwatafuta wote wanaowasaka na kuwateka.
 
Hii issue ndogo sana nikutumia sayansi ya asili mnaita wazee wanakaa mnawauliza je mwamba yupo hai au hayupo hai wakijibu yupo hai basi mnawambia wazee tunaomba waliomchukua wamrudishe fanyeni mnavyoweza yani wazee wajifungie siku saba tu mwamba mnamuona tatizo mnadharau mila na tamaduni
Watakuletea msukule wa Polepole ukiwa unatema mate, kula unga na kuchekacheka. Itawasaidia nini?
 
Back
Top Bottom