Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

Nipe namba zao mkuu
 
Inabidi tupate msaada wa hii technology
 
Wale waliotekwa na kupotezwa ndugu wangeonda huko masvingo mbona geshi la polish lingependeza sana.
 
Zile nondo Polepole alikuwa anaongea ziliwapandisha kisukari Rostam na JK na wahuni wote. Walikuwa wanaona mwisho wao umefika.

Walituma watu wakaenda mpaka nje ya nchi na Cuba kumtafuta kumbe jamaa yupo Ununio kajifungia.

Sijajua ni mahala gani Polepole alikosea, it's obviously alikuwa na wasaidizi ambao walimsaidia huduma kama chakula na mahitaji mengine. Hao wasaidizi nahisi waliuza ramani. Ama kuna wakubwa aliokuwa anashirikiana nao walimchoma, au kuna ndugu zake ambao walikuwa wanafika kwenye ile nyumba walifuatiliwa pasipo wao kujua.


Alikuwa ana maana yake kurudi nchini, siku kingewaka wahuni wakawekwa chini ya ulinzi angejitokeza hadharani.

Alijiamini sana, kwenye moja ya video zake alisema hii ngoma lazima tushinde.
 
ok kwahiyo alitangaza kujiuzulu akiwa hapa Tz? Lakini navyojua ofisa mwenye cheo cha ubalozi akirejea nchini kwake bila taarifa kwa viongozi wake ni lazima atazuiwa eapoti na wakubwa kujulishwa.Hivyo sidhani kama polepole alirudi Tanzania
Huo ni uongo wa vijiweni mkuu. Polepole alikuwa hapa nchini na passport yake aliirejesha Anna Makakala anajua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…