Usihangaike kupoteza muda wako, Polepole alishaungana na Magufuli huko ahera.Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.
Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.
Msipuuze taarifa hii.
Thibitisha kwa kuonyesha ukurasa wa kitabu cha passport ya Polepole uliogongwa muhuri wa kuingia nchini kupitia Airport/ Mpaka gani na tarehe ipi?Tetesi zinasema ndugu balozi alirudi nchini na alikuwa nyumbani kwake maeneo ya bahari beach
Umejuaje?Usihangaike kupoteza muda wako, Polepole alishaungana na Magufuli huko ahera.
Watu wa kazi hawawezi kufanya makosa hayo. Zile damu zilizomwagika nyumbani kwake unadhani walimtibia wapi? Pili kwanini waendelee kukaa naye? Ili iweje? Miezi kumi sasa ukimleta uraiani utasema ulikuwa naye wapi?Umejuaje?
Kwani mtu akiwa nje hawezi kutekwaSi mlikuwa mnatwambia kuwa yupo sijui sweeden, sijui wapi huko nje...
Sasa haya mazingaombwe ya kutekwa mnayatoa wapi?
Sema ameamua kunyamaza baada ya MB za kurushia vituko vyake kuisha!
Hii issue ndogo sana nikutumia sayansi ya asili mnaita wazee wanakaa mnawauliza je mwamba yupo hai au hayupo hai wakijibu yupo hai basi mnawambia wazee tunaomba waliomchukua wamrudishe fanyeni mnavyoweza yani wazee wajifungie siku saba tu mwamba mnamuona tatizo mnadharau mila na tamaduniKwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.
Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.
Msipuuze taarifa hii.
Hii kampeni inaweza kuwaongeza kina Polepole wakawa maelfu.Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.
Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.
Msipuuze taarifa hii.
Yule mzimbabwe walianza kumkata masikio afu miguu..Nilikua siamini mambo ya kishirikina ila kwa jinsi nilivyoona Wazuru waliomuua Mzimbabwe huyo Pole pole kazi ni ndogo kabisa kwa Washona aisee..
Watakuletea msukule wa Polepole ukiwa unatema mate, kula unga na kuchekacheka. Itawasaidia nini?Hii issue ndogo sana nikutumia sayansi ya asili mnaita wazee wanakaa mnawauliza je mwamba yupo hai au hayupo hai wakijibu yupo hai basi mnawambia wazee tunaomba waliomchukua wamrudishe fanyeni mnavyoweza yani wazee wajifungie siku saba tu mwamba mnamuona tatizo mnadharau mila na tamaduni
Au sioHii kampeni inaweza kuwaongeza kina Polepole wakawa maelfu.
Yani ni gia nzuri sana ya kutumika na watawala kuwatafuta wote wanaowasaka na kuwateka.
Wewe hujalewa tu saa hizi?Au sio
Kuwa uyaoneWatakuletea msukule wa Polepole ukiwa unatema mate, kula unga na kuchekacheka. Itawasaidia nini?
Au sio.Wewe hujalewa tu saa hizi?
Maana hizi siku za weekend unaweza kujibizana na mtu kumbe kashapiga Grants za kubumba kadhaa kichwani.
Hawezi hata kukujibu vizuri.
Akikujibu anaandika tu "Au sio" ππ
Inaumiza sanaHe is dead π
You sound like one of them. What are you trying to hide?Hoja yangu ni hii,je alirudi kabla ya kujiuzulu ubalozi,au baada ya kujiuzulu?