Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Kwa sa
Hata mimi ningepumzika, hakuna upinzani siyo kama 2015, hata foreign media tu hazitangazi chochote na hakuna anayejua hata kama Tanzania kuna uchaguzi mwezi huu hata hapo Kenya tu hawajui, ...
Kwa sababu ubongo wako umejaa mavi ndo unaamini hivyo yaani ccm ina watu wa puuzi balaa jitu zima lina vichwa vitatu kabisa unaandika utumbo kama huu, kusoma usijue hata picha pia unashindwa kutambua
 
Huyo utamuona tena jumatano jimbo la Kawe pale Tanganyika kwa Mwaiposa. Naona matangazo kuwa watakuwepo Diamond, Konde na Kiba
Ndo tegemeo lao hao insta kumejaa vijembe vya harmonize na mond wala hawaongelei sera za ccm wacha wasanii watumie kutafuta kiki kwenye mikutano ya ccm
 
kafanya kampeni nonstop kwa miaka mitano tena peke yake wengine wakiwa kimya, hapa kazi tu ilikuwa hapa mubashara tu.., waliofuta Bunge live ili tufanye kazi sijui wanamajibu gani na hili
 
Atakayelia ni yule mropkaji na msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka

Atakayelia ni yule mropkaji na msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
Utakuwa umeachwa kwa akili mbovu ulizonazo kiasi kwamba hiyo ndo msg kuu unayoandika kila siku, msaliti msaliti nadhani hadi ukiwa unakula unaropoka msaliti
 
Yule Rais wa nchi fulani ya Afrika mashariki,nchi ya dona kantri amepumzika kampeni baada ya kuwa arrested by cardiac arrest!
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Utakuwa umeachwa kwa akili mbovu ulizonazo kiasi kwamba hiyo ndo msg kuu unayoandika kila siku, msaliti msaliti nadhani hadi ukiwa unakula unaropoka msaliti
 
Mikutano ya ccm huifuatilii nadhani hiyo ni tafiti ndogo hata kama huna akili unaona.mwitikio mkubwa mikutano yetu yote.
Unaongelea mikutano au mseto wa fiesta na wasafi festival?
So utafiti wako umehusisha kuangalia watu wanaohudhuria mikutano ya kampeni tu na wewe unaona umefanya utafiti? Una uhakika gani wote waliohudhuria mikutano watakupigia kura? Vipi kuhusu umati mkubwa wa under 18 nao watakupigia kura? nawasilisha.
 
Unayosema ni kweli isipokuwa ushindi kwa vile hautokani na kampeni pekee katika nchi za kidemokrasi basi kwa mwaka huu pamoja na Lissu kuvutia wengi na CCM kupwaya katika kila hali kuanzia maneno ya kampeni mpaka uchumi wa wateule kutoweza kufanya kampeni basi bado CCM itatangazwa ushindi.Kumbuka wizi wa kura huanza tangu hatua za uandikishaji.Muda huu wapiga kura wengi walihamasishwa kujiandikisha kwa ushawishi wa CCM kwa kutumia vivutio aina tofauti.
Kitakachofuatia hapo baada ya ccm kupata ushindi ni kwa mara ya mwanzo nchi kuanza kuingia kwenye vurugu zinazoambatana na uchaguzi.Ili kuepusha hayo inabidi CCM ifikirie mapema kutotumia dola kutangaza ushindi wa walioshindwa kati ya wagombea wake wa hatua yoyote ile kama ilivyotokea miaka iliyopita hasa 2015.
Jengine CCM iweke mapema katika ratiba zake uwezekano wa kuwavuta wapinzani katika uendeshaji wa serikali na isiwe imeshinda kwa ujanja na halafu wanatoa jeuri juu (Wembe ni ule ule ...., CCM mbele kwa mbele....) .Hapo hali itatibuka na kwa vile watu wamechoka kimaisha hata wale wanaonunuliwa kwa hongo ndogo ndogo ni rahisi sana kuitupa mkono CCM na kuwa upande wa upinzani,vurugu la aina hiyo huwa halituliziki kwa kutumia nguvu ya dola .
 
Magufuli alikwisha jipanga ashinde kwa msaada wa NEC, Police, TIS na ilishindikana hata JWTZ liingie.
Ndio maana kaamua kufanya fiesta sio kuwashawishi watanzania wamchague tena.
 
Mabox ya kurazilizopigwa yameandaliwa hofu yako nini.
 
Sasa kama kabureta inasumbua atafanyaje?
 
1. Heche anapulia mashine
2. Bulaya yuko ICU
3. Mdee yuko ndani ya ambulence
5. Lema yuko mortuary

Acha uongo wewe mchadema
 
Magufuli naye ni binadamu anaumia Sana anapoona anadanganywa.

Malori yanateseka kusomba watu, gharama kubwa ya kukodi wasanii halafu wasanii wakimaliza tu kutumbuiza watu wanasambaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…