Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Endeleeni kumdanganya ila siku ya kulia mlie wote.
Kuna mambo ambayo yameifanya kampeni hii iwe tofauti kabisa na ya mwaka 2015.
1. Mwaka 2015 udhaifu wa Lowassa kwenye majukwaa ulifanya Magufuli aonekane kama yuko fiti sana kwenye kupiga kampeni.
2. Magufuli alipatwa na jambo kubwa la kiafya kipindi anafanya mikutano mikoa ya kusini (wakati ilipovumishwa anaumwa na amepelekwa nje kwa matibabu) hivyo sasa hivi hawezi kufanya mikutano mingi
3. Utafiti uliofanywa kwenye site unaonyesha Magufuli hakubaliki na watu wengi. Hili limemfanya aone kampeni ni kama kupoteza muda na badala yake muda mwingi unatumiwa kuandaa mikakati ya siku ya kupiga kura.
4. Umati unaohudhuria mikutano ya Magufuli ''unavutwa'' kwa kutumia fedha na mali nyingi kiasi ambacho ni vigumu kufanya mikutano ya mara kwa mara.
 
Rais Magufuli hata asipofanya kampeni ushindi ni 98%

Ameifanyia Tanzania makubwa
Sina uhakika kama mataahira Tanzania yanafika idadi ya 98%. Nakuomba upigie hesabu idadi ya mataahira maana ndio watakaomchagua Magufuli
 
Kuna mambo ambayo yameifanya kampeni hii iwe tofauti kabisa na ya mwaka 2015.
1. Mwaka 2015 udhaifu wa Lowassa kwenye majukwaa ulifanya Magufuli aonekane kama yuko fiti sana kwenye kupiga kampeni.
2. Magufuli alipatwa na jambo kubwa la kiafya kipindi anafanya mikutano mikoa ya kusini (wakati ilipovumishwa anaumwa na amepelekwa nje kwa matibabu) hivyo sasa hivi hawezi kufanya mikutano mingi
3. Utafiti uliofanywa kwenye site unaonyesha Magufuli hakubaliki na watu wengi. Hili limemfanya aone kampeni ni kama kupoteza muda na badala yake muda mwingi unatumiwa kuandaa mikakati ya siku ya kupiga kura.
4. Umati unaohudhuria mikutano ya Magufuli ''unavutwa'' kwa kutumia fedha na mali nyingi kiasi ambacho ni vigumu kufanya mikutano ya mara kwa mara.
 
Sheikh mbona unamwamsha alolala??
 
Malawi walimdanganya Rais wao mpaka akashindwa ,Magufuli uwe macho sio wote wanaokupigia makofi wako na wewe
 
Mbona unamsema meko kiaina,habari za kumwomba lissu ajitoe kwenye uchaguzi mwaka huu hamna.
Wewe nawe mzito kuelewa, kumwambia Tundu ajitoe ni sawa na kumshauri namna bora ya kufanya kampeni?
Tundu alishauriwa aachane na habari ya kutaka dola asubiri kazi ndogo ndogo baada ya 28102020
 
Akifanya kampeni kila siku hatapata watu Wa kujaza uwanja,ndo mana anapumzika ili makada wapate muda Wa kukusanya wannchi kwa kuwagawia t-shirts na kofia na buku tanotano.column ikishatimia ndo mze baba anaambiwa akapige kampeni mahali husika.
 
Hata mimi ningepumzika, hakuna upinzani siyo kama 2015, hata foreign media tu hazitangazi chochote na hakuna anayejua hata kama Tanzania kuna uchaguzi mwezi huu hata hapo Kenya tu hawajui, ...
Sawa binti
 
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sina uhakika kama mataahira Tanzania yanafika idadi ya 98%. Nakuomba upigie hesabu idadi ya mataahira maana ndio watakaomchagua Magufuli
 
Najichukulia mfano mi mwwnyewe,mwaka huu nilikuwa nisipige kura kabisa,hasa ule uchaguzi Wa mitaa ndo uliharibu watu wakjikatia tamaa kabisa,baada ya ubabe waliofanya ccm,wakajua hata uchaguzi huu utakuwa kama huo.
Tulio wengi tulikuwa tukijiuliza chadema watamsimamisha nani mwaka huu,tukiamini tundu hatarudi tena tz kwa vitisho alivyokuwa akipewa na ccm.
Lakini Mungu sio bia yetu,akamleta TAL.kwa hivyo watu wengi waliokuwa wamesma mwaka huu hawatjisumbua kwenda kupiga kura,baada ya lisu kuchaguliwa kupeperusha bendera wote wanasema watapiga kura kwa ajili ya lisu.
Ndo maana tunasema Lisu atashinda uchaguzi huu.
 
Mwaka huu Kama ilivyo miaka mingine ya uchaguzi wa vyama vingi iliyopita, ni kwamba vyama vya upinzani vinagombea dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichopo madarakani, tena kikitumia udhaifu wa Katiba yetu kuwa Chama Dola.

Kwa udhaifu huu uliopo wa Kikatiba na Tume, vinampa nafasi kubwa ya Chama Dola, CCM kushinda. Kutokana na Organs zote za Nchi kuwa upande wa Mgombea wa Chama Tawala, ndiyo maana Dkt Magufuli hatumii msuli Sana kufanya campaign kutokana na uhakika wa kushinda aliopewa na hizo Organs.
 
safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
Matumizi ya nguvu ndo kabisaaa yatawaponza mapema sana. Washachoka hawa, wapumzike tu. Uzuri hakuna visasi, watakaa kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…