Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Lissu ni kama mtu anayetumia uma kutamka kung'oa mbuyu.Kuing'oa ccm ni mziki mwingine aisee, Jidanganyeni tu humu mitandaoni. Kwa hii miaka mitano ya JPM, imewachanganya mpaka mabwana zenu kina Amsterdam hawaamini kama mama Tanzania kaamka tena baada ya kumnyonya rasilimali zake zote ila kaamka tena. Oct 28, kipondo kipo palepale. Magufuli Babalao.
 
Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.

Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.

Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.

Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.

View attachment 1596968
"AMELEGEAA!!" in Tundu Lissu's voice..
 
Meko ananikumbusha kipindi tunasoma ni kama wale wanaotazamia kupewa majibu ya mtihani huwa hawahangaiki na kusoma. Huyu mgombea wa ccm inaonekana ana upungufu wa nguvu za kiume naona akipiga tu kimoja hoiii, huku akiendelea kuwatamani tu weupe. Mgombea wa chadema anawakimbiza kwelikweli ni kivumbi kutafuta kura c mchezo sababu hategemei kuibiwa majibu ya mtihani
 
Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.

Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.

Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.

Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.

View attachment 1596968
Natamani kuona magu akipumzishwa kwa amani.
 
Sababu kampeni za CCM kupwaya ni Spana za Lissu
 
Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.

Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.

Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.

Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.

View attachment 1596968
Sayansi ya "Reasonable force" kama inavyotumiwa na PT, inamtaka Magufuli kutofanya kampeni hata mkoa mmoja and yet guarantee a more than 70% victory.
Pamoja na matakwa ya kisheria, kama ningekuwa namshauri rais nisingemuacha akajikausha koo kwa ushindi ambao ni obvious! Ameutafuta kwa vitendo in a period of five years.
Magufuli kufanya kampeni hata ingekuwa mkoa mmoja, ni matumizi makubwa sana ya nguvu sawa na kutumia bomu (achilia mbali nyundo) kuua sisimizi.
So to conclude, alitakiwa kupumzika tangu kampeni zilipoanza mpaka zitakapomalizika, kisayansi.
Ni kwamba ana roho mbaya ya kupiga bomu mochwari...
 
Siku moja kabla ya kupiga kura, Diwani atashangazwa sana pale wanaume wawili watakapo mwambia akae pembeni wananchi waamue. Hatoamini
 
Sayansi ya "Reasonable force" kama inavyotumiwa na PT, inamtaka Magufuli kutofanya kampeni hata mkoa mmoja and yet guarantee a more than 70% victory.
Pamoja na matakwa ya kisheria, kama ningekuwa namshauri rais nisingemuacha akajikausha koo kwa ushindi ambao ni obvious! Ameutafuta kwa vitendo in a period of five years.
Magufuli kufanya kampeni hata ingekuwa mkoa mmoja, ni matumizi makubwa sana ya nguvu sawa na kutumia bomu (achilia mbali nyundo) kuua sisimizi.
So to conclude, alitakiwa kupumzika tangu kampeni zilipoanza mpaka zitakapomalizika, kisayansi.
Ni kwamba ana roho mbaya ya kupiga bomu mochwari...
Vitendo gani? Yani mtu aivuruge nchi wewe useme ametafuta ushindi kwa vitendo? Halafu inajulikana wazi kuwa Rais ana tatizo la moyo ambalo kwa siku za karibuni limekuwa kubwa maradufu. Hayo mengine uliyoeleza ni porojo tupu. In short Magufuli kavuruga pakubwa mifumo ya nchi.
 
Huyu ni yule alie waambia wakulima wa mbaazi wale mbaazi zao wasiilamu serikali kuharibu soko.
Hali yake ni taabani jimboni. Nae nitafurahi wapiga kura mkimtuma akalime ili ale mazao atakayo pata.
Screenshot_20201011-193137.jpg
 
Back
Top Bottom