mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
2810
Labda huko kwako, huku kwetu ni zero kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda huko kwako, huku kwetu ni zero kabisa
2810 tutayaelewa Yale ya faragha za wanaumeMambo ya kula rambirambi ndo mnayaelewa
"AMELEGEAA!!" in Tundu Lissu's voice..Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
View attachment 1596968
Gari la Mkaa?? Trip moja shamba trip moja garageRais Magufuli hata asipofanya kampeni ushindi ni 98%
Ameifanyia Tanzania makubwa
Meko ananikumbusha kipindi tunasoma ni kama wale wanaotazamia kupewa majibu ya mtihani huwa hawahangaiki na kusoma. Huyu mgombea wa ccm inaonekana ana upungufu wa nguvu za kiume naona akipiga tu kimoja hoiii, huku akiendelea kuwatamani tu weupe. Mgombea wa chadema anawakimbiza kwelikweli ni kivumbi kutafuta kura c mchezo sababu hategemei kuibiwa majibu ya mtihaniKwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
View attachment 1596968
Connect dot Kutokimbizwa kwa mwenge kifo Cha mzee wa lupaso hapa ccm inaponaje mfano.Sasa kwa akili ya kawaida unategemea ccm watashinda bila kutumia ubavu , mapanga na mitutu ya bunduki ?
Ccm hawakubaliki na kila nwananchi mzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia kigogo ata hack tume na kumtangaza Lisu?
Uwezo wa kibinadamu una mipaka yakeZinapungua vipi wakati ni mtu anayeongozwa Afrika nzima kwa kupokea intensive care katika all aspects of his life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaihalibu=Utaiharibu.kama utaihalibu ww
Tutawazimia mitandao,na hakuna mtu atakae weza kuhack kwa namna yoyote ile.Nasikia kigogo ata hack tume na kumtangaza Lisu?
[emoji881] [emoji881] [emoji881]
Natamani kuona magu akipumzishwa kwa amani.Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
View attachment 1596968
Binafsi Mimi na familia yangu kura kwa Lissu.Hana wasiwasi JAMANA PRINTERS wameshafanya yao
Sayansi ya "Reasonable force" kama inavyotumiwa na PT, inamtaka Magufuli kutofanya kampeni hata mkoa mmoja and yet guarantee a more than 70% victory.Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
View attachment 1596968
Vitendo gani? Yani mtu aivuruge nchi wewe useme ametafuta ushindi kwa vitendo? Halafu inajulikana wazi kuwa Rais ana tatizo la moyo ambalo kwa siku za karibuni limekuwa kubwa maradufu. Hayo mengine uliyoeleza ni porojo tupu. In short Magufuli kavuruga pakubwa mifumo ya nchi.Sayansi ya "Reasonable force" kama inavyotumiwa na PT, inamtaka Magufuli kutofanya kampeni hata mkoa mmoja and yet guarantee a more than 70% victory.
Pamoja na matakwa ya kisheria, kama ningekuwa namshauri rais nisingemuacha akajikausha koo kwa ushindi ambao ni obvious! Ameutafuta kwa vitendo in a period of five years.
Magufuli kufanya kampeni hata ingekuwa mkoa mmoja, ni matumizi makubwa sana ya nguvu sawa na kutumia bomu (achilia mbali nyundo) kuua sisimizi.
So to conclude, alitakiwa kupumzika tangu kampeni zilipoanza mpaka zitakapomalizika, kisayansi.
Ni kwamba ana roho mbaya ya kupiga bomu mochwari...
Hakika umenena ukweli mkuu.Sasa kwa akili ya kawaida unategemea ccm watashinda bila kutumia ubavu , mapanga na mitutu ya bunduki ?
Ccm hawakubaliki na kila nwananchi mzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app