Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

Acha ujinga wewe! Nani kamlisha maneno huyo bibi?

Endeleeni kulisha watu maneno, ila mwisho wa siku maboksi ya kura yataongea tu, watanzania wana Imani na CCM na watamchagua Magufuli.
 
Labda mambo ya gereji
Watanzania tumejaaliwa kuhoji vitu visivyokuwa na mashiko, oooh..! Glasi moja ya maji...!
Kwani JPM ameanza leo kunywa maji hadharani, angalia video ya Mh. TAL akiongea na press kuhusu ban ya kampeni, alikuwa anakunywa maji pia, au nayeye ni gereji/.?
 
Mkiishiwa mada Wapuuzi ni Kupost ujinga tu
 
Ila kampeni zinazeeaha haraka mbona kwa kikwete hali ya mgombea haikuwa hivyo
 
Watanzania wangekuwa na imani na maccm wasingetaka uwazi kwenye Uchaguzi na kura kuhesabiwa hadharani.




Endeleeni kulisha watu maneno, ila mwisho wa siku maboksi ya kura yataongea tu, watanzania wana Imani na CCM na watamchagua Magufuli.
 
Hiyo ni stul mlinzi wake kamwekea maji,ila cdm chenga sana
 
Magufuli anaonekana ni shida ya miaka 10
Kwa wasiomwelewa. Maendeleo ya vitu yataleta maendeleo ya watu, watakao tawala baada ya matunda ya maendeleo ya vitu vya magufuli wataonekana watawala wazuri, kwa kuwa watafanikiwa kupitia miundo mbinu kuboresha maisha ya watu.
 
2015 ilikua ni muda wa afya ya Lowassa kukejeliwa,naona 2020 kibao kimegeukia upande mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…