minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, lakini CCM wanachukua pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi wanazitumia kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani hawataki kutoka madarakani kwa njia za sanduku la kura wameng’ang’ania uchakachuaji na wizi wa kura