A-10
JF-Expert Member
- May 15, 2020
- 212
- 351
Pombe safari hii lazima imwagwe.Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe safari hii lazima imwagwe.Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Pombe safari hii lazima imwagwe.
We taahira vp mbona unaandika vitu vya ajabu ajabu tu visivyo na mashiko,Dikteta ni lissu anayelazimisha tumpigie kura
Hatuwezi kupigia kura saliti
Amfuate Robert akampigie kura
We taahira vp mbona unaandika vitu vya ajabu ajabu tu visivyo na mashiko,
Kasaliti nini?Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Kasaliti nini?
Kama mwenyekiti wenu alivyoshikwa kule hai.MATAGA wameshikwa kunako nakwambia!
Mwaka huu ushindi Ni asubuhi kabla ya saa 4Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni.
Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni nadra sana kumuona Mkiti wa chama Mh. Mbowe wala Katibu mkuu akiambatana na mgombea urais Tundu Lissu.
Kila mgombea ubunge anafanya kampeni kwenye jimbo lake na anajaza watu kama kawaida. Tumeona kampeni za Salim Mwalimu, John Heche, Sugu, Ester Bulaya, na wengine zikifanya vizuri bila kutegemea ujio wa mgombea urais ili wajaze watu, tofauti na wagombea ubunge wa CCM wanaosubiri ratiba ya Magufuli.
Hii imewafanya wagombea kujiamini kufikisha ujumbe hadi vijijini kwa wakati na haraka zaidi na pengine imejenga imani kwa wapiga kura kulinda kura kwenye maeneo yao, kwa sababu wanakuwa ni wapigakura wa maeneo hayo tofauti na kampeni za CCM zinazotembea na wasanii kibao na watu wasio wenyeji wa maeneo hayo.
Mhuu hizi ni siasa za enzi za kuomba uhuru wa Tanganyika. Ooh mabeberu, ooh wanyonyaji mara hili mara lile. BadilikaHakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Mhuu hizi ni siasa za enzi za kuomba uhuru wa Tanganyika. Ooh mabeberu, ooh wanyonyaji mara hili mara lile. Badilika
Wewe una kura 1 tu unajionaje ukijinganisha na maelfu waliompokea leo Ikungi.Sio mimi niliyemtuma lissu aisaliti Nchi apambane na laana zake sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yeye apigiwe na robert
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Ni bora mara 100 kuliko hicho chama kilichotawala miaka 60 na hakuna chochote zaidi watu kuzidi kuwa masikini kila uchao
Wewe una kura 1 tu unajionaje ukijinganisha na maelfu waliompokea leo Ikungi.
Lisu ndio rais wako na hizo buku 7 zinaenda kukoma kwa sababu ccm inaenda kuzikwa rasmiHakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Lisu ndio rais wako na hizo buku 7 zinaenda kukoma kwa sababu ccm inaenda kuzikwa rasmi
Bora Msaliti kuliko Mr I can't reach you..aibu tupuHakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Bora Msaliti kuliko Mr I can't reach you..aibu tupu
Via yetu a.k.a kawe alumin unatoa povu sana pumzika bhas.Piga spana kwa wasaliti wa nchi Lissu atapigiwa kura na Robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera