Nakubaliana na weweHakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na weweHakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Usaliti ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara
Usaliti ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge
Usaliti ni kuingia mikataba ya siri ya madini kisha kugoma kugawa Noa kwa kila Mtanzania kama alivyoahidiPiga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera
Usaliti ni kuingia mikataba ya siri ya madini kisha kugoma kugawa Noa kwa kila Mtanzania kama alivyoahidi
Lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 magufuli akapitisha mikataba mibovu Bungeni yupi ni msaliti hapo?Lissu ndiye msaliti wa Nchi alikuwa anatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu
Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania
Kwakujipa moyo tu hamjambo eti sisi..sisi na nani sema wewe kama wewe..Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera
Debe tupu ni wewe uliyekariri ujinga wa polepole kwa ahadi ya kudaka uteuzi haramu wa kishamba na kishetaniLisu ni debe tupu!
Oktoba 28 Lisu out!
Kwakujipa moyo tu hamjambo eti sisi..sisi na nani sema wewe kama wewe..
Na hali inavyo endelea hata wewe utamkacha huyo taahira wako..
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sanaKichaa akisikia maneno yako anaweza akahisi anahafadhali maana kuna kichaa zaidi yake...
Lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 magufuli akapitisha mikataba mibovu Bungeni yupi ni msaliti hapo?
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia kura CCMSisi Watanzania hatutampigia msaliti wa Nchi kura akapigiwe na robert au ubeligiji
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atajuta
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia kura CCM
Unafaidika na Madini yapi? Labda wewe mwenyewe unayejua hiyo mikataba ya siri yenye Noa za watanzania woteLissu alikuwa anapiga kelele kuwatetea Mabeberu
Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania sasa tunafaidika na madini yetu
Watanzania wa wapi kipenzi cha nani? Acha kulazimisha watanzania kukubali udhalimu udikiteta wenuWatanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi tutamfundisha adabu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Unafaidika na Madini yapi? Labda wewe mwenyewe unayejua hiyo mikataba ya siri yenye Noa za watanzania wote
Lisu ni debe tupu!Debe tupu ni wewe uliyekariri ujinga wa polepole kwa ahadi ya kudaka uteuzi haramu wa kishamba na kishetani
Watanzania wa wapi kipenzi cha nani? Acha kulazimisha watanzania kukubali udhalimu udikiteta wenu