Uchaguzi 2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

Lissu ndiye msaliti wa Nchi alikuwa anatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania
Usaliti ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara
 
Msaliti wa Nchi ni lissu aliyekuwa anatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania sasa tunafaidika na madini yetu
Usaliti ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera
Usaliti ni kuingia mikataba ya siri ya madini kisha kugoma kugawa Noa kwa kila Mtanzania kama alivyoahidi
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera
Usaliti ni kuingia mikataba ya siri ya madini kisha kugoma kugawa Noa kwa kila Mtanzania kama alivyoahidi
 
Lissu ndiye msaliti wa Nchi alikuwa anatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania
Lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 magufuli akapitisha mikataba mibovu Bungeni yupi ni msaliti hapo?
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera
Kwakujipa moyo tu hamjambo eti sisi..sisi na nani sema wewe kama wewe..
Na hali inavyo endelea hata wewe utamkacha huyo taahira wako..
 
Sisi Watanzania hatutampigia msaliti wa Nchi kura akapigiwe na robert au ubeligiji

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atajuta

MATAGA wameshikwa kunako nakwambia!
Fursa kwa vyeupe dawa
IMG-20201010-WA0126.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu alikuwa anapiga kelele kuwatetea Mabeberu

Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania sasa tunafaidika na madini yetu
Lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 magufuli akapitisha mikataba mibovu Bungeni yupi ni msaliti hapo?
 
Sisi Watanzania hatutampigia msaliti wa Nchi kura akapigiwe na robert au ubeligiji

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atajuta
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia kura CCM
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi tutamfundisha adabu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia kura CCM
 
Lissu alikuwa anapiga kelele kuwatetea Mabeberu

Asante Magufuli kwa kuwapigania Watanzania sasa tunafaidika na madini yetu
Unafaidika na Madini yapi? Labda wewe mwenyewe unayejua hiyo mikataba ya siri yenye Noa za watanzania wote
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi tutamfundisha adabu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Watanzania wa wapi kipenzi cha nani? Acha kulazimisha watanzania kukubali udhalimu udikiteta wenu
 
Tunafaidika na madini kwa barabara amazojenga Magufuli, umeme kila kijiji Tanzania, Zahanati kila kijiji nk

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Unafaidika na Madini yapi? Labda wewe mwenyewe unayejua hiyo mikataba ya siri yenye Noa za watanzania wote
 
Debe tupu ni wewe uliyekariri ujinga wa polepole kwa ahadi ya kudaka uteuzi haramu wa kishamba na kishetani
Lisu ni debe tupu!

Baada ya oktoba ajiandae kwenda kwa beberu wake bwana Amsterdam
 
Dikteta ni lissu anayelazimisha tumpigie kura

Hatuwezi kupigia kura saliti

Amfuate Robert akampigie kura

Back
Top Bottom