Uchaguzi 2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

Dikteta ni lissu anayelazimisha tumpigie kura

Hatuwezi kupigia kura saliti

Amfuate Robert akampigie kura
We taahira vp mbona unaandika vitu vya ajabu ajabu tu visivyo na mashiko,
 
Mwaka huu ushindi Ni asubuhi kabla ya saa 4
 
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Mhuu hizi ni siasa za enzi za kuomba uhuru wa Tanganyika. Ooh mabeberu, ooh wanyonyaji mara hili mara lile. Badilika
 
Sio mimi niliyemtuma lissu aisaliti Nchi apambane na laana zake sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yeye apigiwe na robert

Wewe una kura 1 tu unajionaje ukijinganisha na maelfu waliompokea leo Ikungi.
 
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu

Ni bora mara 100 kuliko hicho chama kilichotawala miaka 60 na hakuna chochote zaidi watu kuzidi kuwa masikini kila uchao
 
Tanzania sisi ni matajiri, kama wewe ni maskini ujue msaliti wa Nchi Lissu ndio kakuletea umaskini
Ni bora mara 100 kuliko hicho chama kilichotawala miaka 60 na hakuna chochote zaidi watu kuzidi kuwa masikini kila uchao
 
Wewe una kura 1 tu unajionaje ukijinganisha na maelfu waliompokea leo Ikungi.
Endeleeni kuleta picha za kuedit

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
 
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atapoteza muda kumsikiliza msaliti wa Nchi Lissu
Lisu ndio rais wako na hizo buku 7 zinaenda kukoma kwa sababu ccm inaenda kuzikwa rasmi
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Lisu ndio rais wako na hizo buku 7 zinaenda kukoma kwa sababu ccm inaenda kuzikwa rasmi
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Bora Msaliti kuliko Mr I can't reach you..aibu tupu
 
Piga spana kwa wasaliti wa nchi Lissu atapigiwa kura na Robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera
Via yetu a.k.a kawe alumin unatoa povu sana pumzika bhas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…