Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?

Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.

Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.

Hii ni ngumu sana. Sasa wamekwama na wanaaibika maana namna walivyotaka kumchafua imeshindikana.

Sasa wanafanya mambo ya hovyo na wanakwenda kuaibika kabisa.
 
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua
 
Hayati Magu hawezi kuchafuka kwasababu ya kazi alizo wafanyia watanzania.
Wahuni wamejaribu kumchafua imeshindikana kwa sababu wao wahuni wanapiga domo tupu wakati Magu alipiga vitendo.

Magu hayupo,hawezi kujitetea,wala hawezi kutetewa ila kazizake na falsafazake zinamtetea milele.
Wanaomtetea wana relux sana sababu ushahidi wa utetezi upo wazi.
Wanaojaribu kumchafua,wanatumia nguvu nyingi sana, wanakomaza mafuvu kutafuta sababu uchwara za kujaribu kumchafua lakini wana ishia kuwa frustrated, kazi na plan za maendeleo alizoziacha magu ndio zinawavunja nguvu kweli kweli.

Huko mbele tunapokwenda hawahawa ndio wata jificha kwenye kivuli cha magu kuomba kura.
 
Unahangaika sana ila tatizo moja ni kwamba hatafufuka vunja tanga uendelee na maisha mengine
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumpiga dodoki kama mmerelux[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii aya ya mwisho ni Unabii kabisa. Following!
 
Waliokua wanamponda na kumchafua Magufuli huku wakipiga vigelegele kwa Samia, samia amewaangusha dakika za mwanzo kabisa za mchezo, she failed from the start.

Sasa wamechanganyikiwa, waendelee na kampeni ya kumchafua Magufuli ama wajikite katika kumtetea Samia kwenye hovyo hovyo anazozifanya ama wafanyeje. Wako njia panda maana huku wakiendelea kumponda Magufuli huku mama anaendelea kuharibu, wamechanganyikiwa cha kufanya.

Mwaka mmoja tu amefanya mambo ya hovyo mengi kuliko kiongozi yoyote toka tupate uhuru.
 
Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?

Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.

Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.

Hii ni ngumu sana. Sasa wamekwama na wanaaibika maana namna walivyotaka kumchafua imeshindikana.

Sasa wanafanya mambo ya hovyo na wanakwenda kuaibika kabisa.
Taja mojawapo ya hiyo kampeni..

Unfortunately maiti aliyeoza hana impacts kokote, habari yake ilikwisha.
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumpiga dodoki kama mmerelux[emoji23][emoji23][emoji23]
Dodoki alisha jipiga mwenyewe, ukiwa mtu wa haki na kweli utapendwa na wengi nandivyo ilivyo kwa Magu.
 
Unahangaika sana ila tatizo moja ni kwamba hatafufuka vunja tanga uendelee na maisha mengine
Haya ndio maneno ya hovyo hovyo mliyo bakinayo, hamna hoja za kutetea chukizenu binafsi kwa Hayati Magu.
 
Back
Top Bottom