Hayati Magu hawezi kuchafuka kwasababu ya kazi alizo wafanyia watanzania.
Wahuni wamejaribu kumchafua imeshindikana kwa sababu wao wahuni wanapiga domo tupu wakati Magu alipiga vitendo.
Magu hayupo,hawezi kujitetea,wala hawezi kutetewa ila kazizake na falsafazake zinamtetea milele.
Wanaomtetea wana relux sana sababu ushahidi wa utetezi upo wazi.
Wanaojaribu kumchafua,wanatumia nguvu nyingi sana, wanakomaza mafuvu kutafuta sababu uchwara za kujaribu kumchafua lakini wana ishia kuwa frustrated, kazi na plan za maendeleo alizoziacha magu ndio zinawavunja nguvu kweli kweli.
Huko mbele tunapokwenda hawahawa ndio wata jificha kwenye kivuli cha magu kuomba kura.