Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
UsilogoffAisee,basi sawa ngoja tuone itakuwaje!
Nalog off Z
Una log off, tupe maoni yako? Log on.Aisee,basi sawa ngoja tuone itakuwaje!
Nalog off Z
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafuaHivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?
Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.
Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.
Hii ni ngumu sana. Sasa wamekwama na wanaaibika maana namna walivyotaka kumchafua imeshindikana.
Sasa wanafanya mambo ya hovyo na wanakwenda kuaibika kabisa.
Kuna wakati lazima utumie lugha ngumu ili kuilinda, maana hata shetani anatumia waja wake kuharibu mema....
Legacy haitetewi, legacy inajitetea yenyewe
Unahangaika sana ila tatizo moja ni kwamba hatafufuka vunja tanga uendelee na maisha mengineHivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?
Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.
Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.
Hii ni ngumu sana. Sasa wamekwama na wanaaibika maana namna walivyotaka kumchafua imeshindikana.
Sasa wanafanya mambo ya hovyo na wanakwenda kuaibika kabisa.
Mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumpiga dodoki kama mmerelux[emoji23][emoji23][emoji23]Hayati Magu hawezi kuchafuka kwasababu ya kazi alizo wafanyia watanzania.
Wahuni wamejaribu kumchafua imeshindikana kwa sababu wao wahuni wanapiga domo tupu wakati Magu alipiga vitendo.
Magu hayupo,hawezi kujitetea,wala hawezi kutetewa ila kazizake na falsafazake zinamtetea milele.
Wanaomtetea wana relux sana sababu ushahidi wa utetezi upo wazi.
Wanaojaribu kumchafua,wanatumia nguvu nyingi sana, wanakomaza mafuvu kutafuta sababu uchwara za kujaribu kumchafua lakini wana ishia kuwa frustrated, kazi na plan za maendeleo alizoziacha magu ndio zinawavunja nguvu kweli kweli.
Huko mbele tunapokwenda hawahawa ndio wata jificha kwenye kivuli cha magu kuomba kura.
Hayati Magu hawezi kuchafuka kwasababu ya kazi alizo wafanyia watanzania.
Wahuni wamejaribu kumchafua imeshindikana kwa sababu wao wahuni wanapiga domo tupu wakati Magu alipiga vitendo.
Magu hayupo,hawezi kujitetea,wala hawezi kutetewa ila kazizake na falsafazake zinamtetea milele.
Wanaomtetea wana relux sana sababu ushahidi wa utetezi upo wazi.
Wanaojaribu kumchafua,wanatumia nguvu nyingi sana, wanakomaza mafuvu kutafuta sababu uchwara za kujaribu kumchafua lakini wana ishia kuwa frustrated, kazi na plan za maendeleo alizoziacha magu ndio zinawavunja nguvu kweli kweli.
Huko mbele tunapokwenda hawahawa ndio wata jificha kwenye kivuli cha magu kuomba kura.
Taja mojawapo ya hiyo kampeni..Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?
Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.
Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.
Hii ni ngumu sana. Sasa wamekwama na wanaaibika maana namna walivyotaka kumchafua imeshindikana.
Sasa wanafanya mambo ya hovyo na wanakwenda kuaibika kabisa.
Dodoki alisha jipiga mwenyewe, ukiwa mtu wa haki na kweli utapendwa na wengi nandivyo ilivyo kwa Magu.Mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumpiga dodoki kama mmerelux[emoji23][emoji23][emoji23]
Habariyake ilikwisha lakini ukiamka asubuhi unakutana na developments ambitions plan zake zinakusuta moyoni.Taja mojawapo ya hiyo kampeni..
Unfortunately maiti aliyeoza hana impacts kokote, habari yake ilikwisha.
Haya ndio maneno ya hovyo hovyo mliyo bakinayo, hamna hoja za kutetea chukizenu binafsi kwa Hayati Magu.Unahangaika sana ila tatizo moja ni kwamba hatafufuka vunja tanga uendelee na maisha mengine