Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

Huyo magu sio tu ameshachafuka bali ameshaoza kabisa na sasa ni takataka tu uko ardhini,msuabudu viozo muwe na akili kidogo.
 
mambo yapi ya hovyo ya Vasco da Gama? yataje!
 
Jambazi aliepita alikuwa anaiba na hataki kelele wakati anapora, lasivyo utakutana na unknown people.
Mjambazi ya sasa yanaiba huku yana earphone na kuimba ...iendelee, pale ulipo kula kwa nidhamu hawataki kelele, ukizidisha unalambishwa asali.
 
Haya ndio maneno ya hovyo hovyo mliyo bakinayo, hamna hoja za kutetea chukizenu binafsi kwa Hayati Magu.
Magufuli alikwisha chafuka kwa maovu yake! Hakuna mtu wa kumsafisha hadi kiama!

Wewe ni mpambe wa shetani bila shaka na shetani mwisho wake ni jehanam!
 
Habariyake ilikwisha lakini ukiamka asubuhi unakutana na developments ambitions plan zake zinakusuta moyoni.
Sukuma gang ndio mnahangaika kuanzisha mada za Mwendazake na kumtetea kila siku humu,tena za uongo uongo..

Yule habari yake imekwisha,kupoteza mda kwa ajili ya marehemu ni kutojitambua.
 
Magufuli alikwisha chafuka kwa maovu yake! Hakuna mtu wa kumsafisha hadi kiama!

Wewe ni mpambe wa shetani bila shaka na shetani mwisho wake ni jehanam!
Punguza mahasira mkuu utakufa na kinyongo.
Magu alikuwa mtu wa haki na mkweli asiependa ujinga ujinga, jilaumu mwenyewe kwa kutafuta short cut nacheti feki.
 
Sukuma gang ndio mnahangaika kuanzisha mada za Mwendazake na kumtetea kila siku humu,tena za uongo uongo..

Yule habari yake imekwisha,kupoteza mda kwa ajili ya marehemu ni kutojitambua.
Na wewe umepiteza mudawako hapa kupinga ukweli.
 
Punguza mahasira mkuu utakufa na kinyongo.
Magu alikuwa mtu wa haki na mkweli asiependa ujinga ujinga, jilaumu mwenyewe kwa kutafuta short cut nacheti feki.
Shetani hajawahi kufanya haki na Magufuli hajawahi kufanya haki!
 
Ha
Hata wanyama wa porini wanatambua mchango wa hayati Magufuli katika nchi hii. Hutaki kaulize watu wanaojifanya kuwa wana vitalu kwenye mapori ya akiba
 
The opposite of it is true. Huyo mtu wenu HAJAWAHI kuwa msafi.
 
Shetani hajawahi kufanya haki na Magufuli hajawahi kufanya haki!
Ukiondoa huko kujitoa akili kwa kulopoka lopoka kumpa majina yanayoongozwa na hasira na muhemko hakuna, baya linalo endana na hayo ma hasirayako ambalo amelifanya huyo Magu.
Mna mshambulia kwasababu tu alizuiya wajombazenu kudhulumu haki za wananchi wanyonge.
 
Hakuna anayemchafua Magufuli bali Magufuli alikuwa ni mchafu kabla hata hajakuwa Rais na alipokuwa Rais akajichafua mwenyewe zaidi.
Kama wasaidizi wake walikuwa ni akina Sabaya, Makonda, Chalamila na Gambo huyu mtu utasemaje ni msafi anachafuliwa.

Ila nyinyi mnaoabudu mzoga wa Magufuli mnashauriwa muende Chato mkajichimbie makaburi mzikwe karibu na DIKTETA
 
The opposite of it is true. Huyo mtu wenu HAJAWAHI kuwa msafi.
Alikuwa msafi ndio maana aliwanunulia mandege ya kutosha kuiheshimisha nchi machoni pa mataifamengine lakini mnashindwa kuyafanyia kazi, yani in short amewatafunia mbaka kwenye kukusanya kodi kwa kutumia contral namba ilimsiibiwe.
 
Kalagha bhaho na ujinga wako!
 
Hakuna kilichokwama hata kidogo; magufuli kafutwa na kifuto, kilichobaki ni bango kubwa lililoandikwa kwa herufi kubwa kwamba Magufuli alikuwa ni nuksi kwa taifa na aliacha chapter chafu na ovu sana inayostahili kufutwa katika historia ya Tanganyika! Kwa bahati nzuri Mungu aliingilia ugomvi na sasa bahari imetulia!
 
Wapi huko? Lindi kwa basha yako Membe na Nape? Shwain mkubwa muuza makalio
 
"Nireteeni Gwajima."

Magufuli was a country bumpkin.

Koroshow proved that.
 
Alijichafua mwenyewe kwa kujinyea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…