Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

Samia alikofeli ni kupi huko, mama analeta furaha iliyokuwa imepotea ktk kipindi cha miaka 5
 
We bwege acha chuki za kishoga.
Unatukana nini sasa au unataka kila mtu awaze kama wewe na kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri? Magufuli kama binadamu alipendwa na kuchukiwa pia kama wengine hiyo ni kawaida
 
Ni ngumu sana kuchafua legacy ya JPM, waliojaribu wameona mrejesho wake, wamekuwa unpopular.shida yule mzee aliwafunua watu macho kwa kila kitu,hakuficha,so leo ukitaka kufanya watu wajinga ni ngumu kukuelewa.
 
Hakuna anaye mchafua Jiwe bali alijichafua yeye mwenyewe.
 
Dah, aisee we jamaa, huu ni uzi wako wa 200+ wa kumsafisha JPM?
Mbona Mkapa na Nyerere hawasafishwi kwa madodoki ya chuma namna hii?[emoji23][emoji23]

Legacy haitetewi, legacy inajitetea yenyewe
Wanajitahidi kuilazomisha legacy hewa na kamwe hawatafanikiwa
 
Pumbaf
 
Kwiiishaaaaa habari zenu wana sukuma gang.
 
Kama ni MCHAFU ATACHAFULIWA TU kwani yeye ni Nani mpaka asichafuliwe ?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mwamba aliyepita kufanya yake nakuonyesha kuna walanguzi wengi wa keki ya taifa
Akaacha ametega mabomu kila kona ya nchi na akatimka
 
Alikuwa kiongozi mkuu wa nchi.

Yapo mengi mazuri alifanya, ni sawa.

Baya moja huwa linafuta yale mema mengi.

All in all, hayupo tena wala hatarudi tena kwa mwili na cheo kile.

La maana tumtakie salama huko aliko.
 
Nyie mataga mnatumia nguvu nyingi kupitiliza
Kuna wakati lazima utumie lugha ngumu ili kuilinda, maana hata shetani anatumia waja wake kuharibu mema.
 
Alikuwa kiongozi mkuu wa nchi.

Yapo mengi mazuri alifanya, ni sawa.

Baya moja huwa linafuta yale mema mengi.

All in all, hayupo tena wala hatarudi tena kwa mwili na cheo kile.

La maana tumtakie salama huko aliko.
Acha ushamba Magufuli hakufanya baya la kufuta wema wake acheni ujinga vijanax wa jamiiforums.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…