Corticopontine JF-Expert Member Joined Sep 20, 2019 Posts 666 Reaction score 1,277 Jun 19, 2022 #61 Yoda said: Nyie mataga mnatumia nguvu nyingi kupitiliza Click to expand... Magufuli alikuwa kiboko ya wanafiki kama nyie mlinymqza kimya enzi zake
Yoda said: Nyie mataga mnatumia nguvu nyingi kupitiliza Click to expand... Magufuli alikuwa kiboko ya wanafiki kama nyie mlinymqza kimya enzi zake
Baba Ndumbwi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 447 Reaction score 712 Jun 19, 2022 #62 Hakuna anayemchafua alijichafua mwenyewe
RWANDES JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,788 Reaction score 4,401 Jun 19, 2022 #63 Jpm alijitolea maisha yake kwa manufaa ya waliowengi wachache aliwakataaa waziwazi wakashupaza shingo zao wakafanya yao! Amefariki bado wametoa ajira mitandaoni kwa ajiri ya kumchafua lakini mpango huo umebuma
Jpm alijitolea maisha yake kwa manufaa ya waliowengi wachache aliwakataaa waziwazi wakashupaza shingo zao wakafanya yao! Amefariki bado wametoa ajira mitandaoni kwa ajiri ya kumchafua lakini mpango huo umebuma
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jun 19, 2022 #64 Yoda said: Nyie mataga mnatumia nguvu nyingi kupitiliza Click to expand... Huwa nasoma humu na kusikia hilo neno mataga, unadhani hata wewe unahusika na hao mataga?.
Yoda said: Nyie mataga mnatumia nguvu nyingi kupitiliza Click to expand... Huwa nasoma humu na kusikia hilo neno mataga, unadhani hata wewe unahusika na hao mataga?.