Uchaguzi 2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

Uchaguzi 2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

Usemalo ni kweli na umepunguza, si 95% ni 99%. Kama waliweza kwa uchaguzi serikali za mitaa, itakuwa mwaka huu washindwe? Tume, wakurugenzi, polisi, jeshi na mgambo vyote vindhibitiwa na CCM. Kamati za ulinzi na Usalama ni CCM.
Si 99% ni 100,amepita bila kupingwa
 
Unajua wameandikishwa wapiga kura wangapi? Wataiba hadi kuzidi walioandikishwa. Jiwe hata Dodoma hapati kura halali

Kazi ya chadema ni malalamiko tu. Mtake msitake JPM atashinda tu tena kwa kura za kishindo. Mnadanganyika na makelele ya boda boda.
 
hapa wana Bukoba naona wameamua kumrudishia Magufuli ujumbe wake pendwa wa "message sent"!
Na siyo sent tu imekuwa delivered! Mtuhurumie wandugu kaka yangu mtamwua kwa pressure!
 
Nilikuwepo jana uwanja wa mashujaa Chief yuko vizuri kichwani achana na adv byabato uchwara
Ccm bukoba mjin na kyerwa wana hali ngumu vibaya
 
Kazi ya chadema ni malalamiko tu. Mtake msitake JPM atashinda tu tena kwa kura za kishindo. Mnadanganyika na makelele ya boda boda.
Mjindanganye shwaini nyie ndio mtajua hakuna marefu yasiyo na ncha. Mnatumia nguvu kupendwa? Mtanyooka tu.
 
Back
Top Bottom