Kuna tofauti ya kushinda na kujitangaza kushinda.Oooh Iam laughing and making loud noise
Tutashinda ccm....
Leo nimesikia mawakala wao wamepewa maelekezo kuwa wakiona Ccm wamezidiwa kura waanzishe fujo vituoni alafu polisi wataingilia kati kwa kuwatoa watu na hapo ndo Ccm wataingiza kura zao zilizochakachuliwa. Chadema tujiandae na kuchukua tahadhariCCM hawawezi siasa za ushindani, wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia...
Mzee Kingugwe aliona mbali sana, Magufuli ni mtekelezaji wa mipango ya boss lakini si mwanasiasa.Yule mental case anadai kuwa akichaguliwa kuwa Rais ataongeza mishahara ya wafanyakazi,yaani hakumbuki kuwa hata mwaka 2015 aliahidi pia![emoji1787]Halafu alisikia Tundu Lissu akinadi sera yao ya bima ya afya kwa kila mtu na yeye akaidandia kama zuzu wakati kwenye ilani yao hata haipo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ukimfuatilia majukwaani ni kama mtu mwenye matatizo ya akili.Anaweza kwenda Mbeya akasema maendeleo hayana vyama halafu akienda Manyara(Kama alivyofanya wiki hii) anawaambia wananchi kuwa awamu iliyopita sijaleta barabara hapa kwa sababu mlichagua mbunge wa upinzani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mental case!Mzee Kingugwe aliona mbali sana, Magufuli ni mtekelezaji wa mipango ya boss lakini si mwanasiasa.
CCM hawawezi siasa za ushindani, wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia...
Ninakumbuka Mbowe aliwahi kuomba maridhiano. Wakati ule wenye mamlaka walimdharau, watayajutia yale maneno.Kama ni ushindi basi utakuwa ni ushindi haramu ambao unaweza kuhusiana na umwagaji mkubwa sana wa damu ambao unaweza kusababisha vifo vingi. Hilo likitokea Watanzania tunaojitambua na jumuiya ya Kimataifa tutamshinikiza huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa mauaji ya kutisha aliyoyafanya hastahili kubaki madarakani. Serikali ya maridhiano itastahili kuundwa ambayo itasimamia upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi.