Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #41
Waliomtoa Gaddafi madarakani walikuwa ni wale waliopoteza Baba, kaka, mjomba nk kwacwasio julikana.Mimi nakwambia uhalisia jinsi ulivyo, wananchi kuwa hasira hilo linajulikana Dunia nzima kuna Wananchi wana hasira, lkn kuwa na hasira na kufanya Mapinduzi ni vitu viwili tofauti, Wananchi kama wananchi wanahitaji Kiongozi ili waweze kufanya chochote, na kufanya chochote unahitaji mkwanja, hakuna atajayeingia barabarani huku tumbo ni tupu watoto hawajakula nyumbani, utamwambia machinga au boda boda aingie barabarani bila ya kumpa hela atakuelewa?