Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki kwao imekuwa kitu adimu sana. Wanatulazimisha kuwa tunawapenda.
Uchaguzi ulio huru wa haki wala wenye kuaminika haupo.
1. Tutajihimu vituoni.
2. Hakuna kura hadi tujiridhishe kuwa mawakala wetu wapo kamili gado.
3. Tutapiga kura.
4. Tukimaliza kupiga kura hatuondoki.
5. Matokeo mtatutangazia vituoni.
Walizoea kupiga? Sawa. Karibuni. JKNIA mlipenda twende?
Basi JKNIA kwa hili ilikuwa cha mtoto.
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.
Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.
Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.
Hivi ni kwanini tulazimishane!
Kwa kadri muda wa uchaguzi unavyozidi kukaribia ndio baadhi ya watu wanvyozidi kuchanganyikiwa,
sijui nani aliwatuma washangilie kujidanganya ili hali ndani ya nafsi zao wakijua kabisa wanajidanganya??
Ndugu yangu nenda taratibu utakuja kufa mapema bure na pressure kwa hizi habari za uongo. Sijui unazipata kwenye kijiwe gani. Za kuambiwa ongeza na zakoLeo nimesikia mawakala wao wamepewa maelekezo kuwa wakiona Ccm wamezidiwa kura waanzishe fujo vituoni alafu polisi wataingilia kati kwa kuwatoa watu na hapo ndo Ccm wataingiza kura zao zilizochakachuliwa. Chadema tujiandae na kuchukua tahadhari
Baada ya miaka mitano ya udikteta we are stronger than before 💪🏾💪🏾💪🏾
Picha zimetengenezwa na zinaonekana wazi! Jaribu zingine
My kaka, uchaguzi ni mchezo wa namba. Kuna kitu kimoja ambacho wafuasi wa Chadema wanapata shida sana kukielewa. Hakuna mtu ambaye ana kura ya veto. Kura yako ni moja na ina nguvu sawa na ile ya nyanya yangu asiyejua kusoma wala kuandika. Kwa hiyo, unaposema kitu fulani ni afadhali ujisemee wewe nafsi yako, kwa sababu mimi hapa, kwa mfano sijalazimishwa kumpenda mtu au chama fulani, kama unavyojaribu kuwaaminisha watu! Unaposema mnalazimishwa sijui unajisemea wewe na nani mwingine.
Hata ukiwa na mapenzi na mihemko kiasi gani na mgombea wa chama chako, mwisho wa siku, sauti ya walio wengi ndiyo inayompa mtu ushindi. Wengi tunaposhinda kwenye social media tusidhani kwamba sisi pekee yetu ndio wenye kauli ya mwisho ya nani awe nani.
There’s no way the noisiest and most vocal minority will overcome the will of the silent majority!
Mimi nimefurahi tu hata Yale mawazo kua akishinda, 2025 watabadili katiba na kumuongezea muda yatakua yamekufa kabisa , kwani wakifanya hivyo panaweza pasitoshe naona picha wameshaionaCCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.
Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.
Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.
Hivi ni kwanini tulazimishane!
Kuna mijamaa mijinga kuliko maelezo kama wewe.
Nikikuambia ninajisemea mimi na mke wangu na michepuko yangu na washirika wangu tuliokubaliana kwenye hilo utasema je? Au wewe unadhani watu wote ni lb7 kama wewe na bia yetu?
Ninawasemea sisi, wewe na wapuuzi wenzio hammo na wala hatuwahitaji unasema je hapo?
Ni ZWAZWA tu ambaye hajui umuhimu wa HAKI katika jamii yoyote ile hapa duniani. Haki kwake ni jambo linalomuhusu yeye tu lakini si mwingine. Ubinafsi ni ni hatari sana katika dunia ya leo.
Certainly, matusi na lugha isiyo ya staha ndio mtaji pekee wa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema)!
Unfortunately, my standard for decency is very high and I cannot afford to lower it to match yours. May the Lord have mercy on you!
Hebu tuambie ni haki gani unayoizungumzia wewe leo hii?
Haki ya kumfukuza Zitto Kabwe kwenye chama kwa majina yote mabaya na huyo mgombea wenu akiwa magari wa mbele kwenye kuhakikisha hilo??lakini leo hii Zitto kwenu anafaa sababu tu anatimiza matakwa yenu,hivi ni nani mbinafsi hapo??
Haki ya kumchafua na kumtukana Lowasa kwa miaka kibao then ghafla bin vuu kwa tamaa zenu za madaraka mkataka, awe Rais kupitia chama chenu,na wale wote waliopingana na nyinyi kwenye hilo wanageuka kuwa wabaya wengi akiwemo Dk slaa
Ni ZWAZWA tu ambaye hajui umuhimu wa HAKI katika jamii yoyote ile hapa duniani. Haki kwake ni jambo linalomuhusu yeye tu lakini si mwingine. Ubinafsi ni ni hatari sana katika dunia ya leo.
Hivi ni HAKI gani ambayo unaizungumzia hapa??
HAKI ya kumfurusha Zitto Kabwe kwa majina yote mabaya tena huyo huyo mgombea wenu akisimamia utekelezaji wa hilo kwa nguvu zake zote,lakini leo hii Zitto huyo huyo anaonekana wa maana kisa tu anafanya sawa na matakwa/matamanio yenu ,Sasa hapo nani mbinafsi??
Huyo huyo Zitto alipoamua kutumia HAKI yake ya kikatiba kuanzisha chama chake,mgombea wenu wa urais akajitokeza kumdhihaki na kukibehi chama chake cha ACT ,
Halafu leo hii anajifanya kutaka kuizungumzia HAKi?
Hivi mnajua hata maana ya neno HAKI au mmekariri tu?
Unaongelea HAKI ya kumchafua na kumtukana Lowasa kwa miaka kibao kwamba ni fisadi papa ,huyo huyo mtu wenu akijitapa kuwa yeye ndiye mwandishi wa LIST OF SHAME then ghafla bin vuu mkaanza kutulazimisha tukubaliane na mpango wenu kumfanya Lowasa kuwa Rais kupitia chama chenu na yeyote aliyegoma kukubaliana na nyinyi akawa adui wenu akiwemo Dk slaa na Lipumba,
Halafu leo hii mnajifanya kuongelea HAKI bila aibu wala soni? wanatokea watu kama wewe mnaunga tela tu HAKI HAKI...
Sasa hapo nani ZWAZWA baina yetu?
Wacha ujinga wewe kwani Zitto ndiye aliyekuwa wa kwanza kufukuzwa kwenye chama Nchini? Maccm yamewafukuza wangapi kama wanachama au hilo hulioni?
Lowassa ni fisadi na ilikuwa ni makosa makubwa sana kumkaribisha fisadi Chadema. Huyo anayejiita anapambana na ufisadi halafu ndani ya maccm kaendelea kuwakumbatia majizi makubwa kwa kauli za Chakubanga na yule wa jalalani mwingine bashiru. Toa ujinga wako!
Katibu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye Serikali
Bashiru asema kuna majizi CCM KATIBU Mkuu wa (CCM), Dk. Ally Bashiru, amesema amekuta wizi wa kutisha ndani ya chama hicho uliofanywa na watu wenye majina makubwa na kwamba iwapo ataamua kutaja majina yao, umma utashangaa na kushindwa kuamini. KATIBU MKUU WA (CCM), DK. ALLY BASHIRU. Sambamba...www.jamiiforums.com
Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia. Najiuliza maswali 1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni...www.jamiiforums.com