Unajua tofauti ya mshindi na mwizi?
Kwa nini hampendi kusema kweli hata mnaposoma kwenye mabandiko ya wenyewe?
Ibeni Ila msisahau kuweka sawa idadi ya watakaokufa.
Safari hii wafu hawatakuwa kwetu peke yake lakini. Mark my words!
Aisee Zanzibar kura zishaanza sasa which words are you talking about
Achana na watu wenye ujasiri wa nyuma ya keyboard. Sijui wanamtishia nani nyau!
Eti ukiwa rais haushitakiwi, ndivyo wajinga wanavyodanganywa, hakuna mwanadamu aliye juu ya sheria.kwan haujui ukiwaa prezidaa haushtakiwi? vp zile bil 8 za mama mbowe mmmeshazirudisha?
Eti ukiwa rais haushitakiwi, ndivyo wajinga wanavyodanganywa, hakuna mwanadamu aliye juu ya sheria.
Akina Tailor, Gbagbo hata Al Bashir wako wapi mbona hawakuachwa kisa walikuwa marais. Huwezi ukafanya uhalifu ukakwepa kuadhibiwa eti kisa ulifanya uhalifu ukiwa kama rais.
Unamfahamu mtu moja aliyekuwa anaitwa Agusto Pinochet au unamfahamu Dikteta Mengistu Haille Mariam. Ukiwafahamu hao na hatima yao ndio utajua kuwa hakuna aliye juu ya sheria ni kujidanganya tu wakati mtu amelewa madaraka.
Akiuaua watu, anaburuzwa vizuri kizimbani kwani unafikiri hao hawakuwa marais.story isiwe ndefu sanaaaaaaaaa! fanya unaloweza kufanya but magufuli huwezi mshtaki na ndo raisi wako tena, penda usipende, ukitaka kuruka we ruka kulia we lia tu
Akiuaua watu, anaburuzwa vizuri kizimbani kwani unafikiri hao hawakuwa marais.
Wewe kiujinga ndio unafikiri hawezi kushitakiwa lkn yeye anaelewa vizuri kinachoweza kumtokea na ndio maana hata akaacha huu uchaguzi ukafanyika kwani alitaka afanye uhuni kama alivyofanya kwenye ule wa mitaa lkn alijua angekiona cha moto.
Kama mnafikiri kuua watu wachache haifikii threshold ya kuweza kushitakiwa kwa mujibu wa The ICC Statutes, basi mtakua mnajidanganya sana.unajua ICC inashuhulikia kesi za aina gan? mimi wacha nkwambie, kwanza kaa ukijua watu 3 wamekufa zanzibar andaa na hio upeleke icc, alafu ongezeni na shambulio la lissu
Kama mnafikiri kuua watu wachache haifikii threshold ya kuweza kushitakiwa kwa mujibu wa The ICC Statutes, basi mtakua mnajidanganya sana.
There are many ways of killing a dog.