Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Umeongea pumba tupu
 
Huyu jamaa anapumzika sana , kwani kama afya hairuhusu si awaachie tu wenye afya zao washike madaraka
 
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Lame excuse

Serikalini kuna watu kibao wa kuweza ku execute majukumu yake, basically hakuna kitu kama hali ya hatari ambayo inahitaji awepo Rais ofisini hata Majaliwa angeweza ku execute hayo masuala
 
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Na kweli. Watanzania tumeona jinsi utawala wake ulivyoua watu, ulivyoteka watu, ulivyowapoteza watu, ulivyowabambikia watu kesi na jinsi ulivyowafukarisha na kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jpm
 
Magu hahitaji kupoteza muda wote na rasilimali kwa urais ambao ni wa kwake!

Magu hata asipopiga kura kabisa, atashinda tu
Hayo magoti anayopiga ni ya nini kama hahitaji kupoteza mda na resources zingine kwa 7bu atashinda tu?
 
Na kweli. Watanzania tumeona jinsi utawala wake ulivyoua watu, ulivyoteka watu, ulivyowapoteza watu, ulivyowabambikia watu kesi na jinsi ulivyowafukarisha na kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka MI 5 ya magufuli watu wengi wamekamatwa kwa tuhuma za ugaidi kuliko Afghanistan na Iraq
 
Nimesoma Mara ya pili nilichoandika mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…