Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Ethiopia kuna maflyovers makubwa kuliko yaliyojengwa Dar es salaam

Kuna mradi mkubwa wa SRG kuliko yote barani afrika

Kuna shirika kubwa la ndege kuliko yote afrika, hayo ma dreamliner ya Magufuli zaidi ya mara ngapi sijui

Mradi mkubwa wa umeme 9000 megawatts wakati streigler gorge ni 2000

Kwa kuwa hayakuwa maendeleo ya watu leo hii kila mara wanakamatwa wakitaka kwenda SA kutafuta maisha bora

Labda wasiojulikana, sheria ya makosa ya mtandao, kuzuia siasa miaka 5, kuwatwanga wapinzani na yanonayofanana na hayo

By the way, angekaa nyumbani maana tume yake, polisi wake, msajili wa vyama wake woote na wengineo wanamfanyia kampeni vizuri tu, au siyo?
Umeongea pumba tupu
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Huyu jamaa anapumzika sana , kwani kama afya hairuhusu si awaachie tu wenye afya zao washike madaraka
 
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Lame excuse

Serikalini kuna watu kibao wa kuweza ku execute majukumu yake, basically hakuna kitu kama hali ya hatari ambayo inahitaji awepo Rais ofisini hata Majaliwa angeweza ku execute hayo masuala
 
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Na kweli. Watanzania tumeona jinsi utawala wake ulivyoua watu, ulivyoteka watu, ulivyowapoteza watu, ulivyowabambikia watu kesi na jinsi ulivyowafukarisha na kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni dalili ya kuwa Maji yamezidi unga!!!
Atawakumbuka sana Mzee Kinana na Nnepi Nauye lakini pia Marehemu Mzee Mkapa ambao 2015 walimfanyia kazi nzuri sana. Jamaa baada ya kuingia Ikulu tu wote 2 akawatosa kwa makosa ya kipuuzi kabisa.
This time Atakula JEURI YAKE!!
Jpm
EihF1b6XgAAwdJ4.jpg
 
Magu hahitaji kupoteza muda wote na rasilimali kwa urais ambao ni wa kwake!

Magu hata asipopiga kura kabisa, atashinda tu
Hayo magoti anayopiga ni ya nini kama hahitaji kupoteza mda na resources zingine kwa 7bu atashinda tu?
 
Na kweli. Watanzania tumeona jinsi utawala wake ulivyoua watu, ulivyoteka watu, ulivyowapoteza watu, ulivyowabambikia watu kesi na jinsi ulivyowafukarisha na kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka MI 5 ya magufuli watu wengi wamekamatwa kwa tuhuma za ugaidi kuliko Afghanistan na Iraq
 
Tufike mahali tuache Mungu afanye kazi yake. Magufuli afya mgogoro hawezi himili mikiki mikiki ya kampeni. Asilazimishe kukaa madàrakani wakati ni spanna mkononi, awapishe akina Tundu Lissu wenye afya zao waendelee na kutuongoza.

Unampiga mwenzio risasi 16, unapanga akazikwe kijijini kwao mara moja akisha kufa. Mungu anazuia anaepusha kifo. Then unashinikiza asionwe hospitali na wabunge wenzie, unamnyima kumlipia matibabu, unamnyima mshahara wake na mwishowe unamfukuza ubunge. Lakini bado Mungu anampigania mpaka anakuja kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania.

Na wewe mpigaji marisasi ndiyo una afya mgogoro kama vile unaishi Ward ya emergency ya Muhimbili. Siku 2 barabarani siku 4 mapumziko.

TUSIMCHEZEE MUNGU, Rais wa Tanzania kuanzia 29/ 10 ni TUNDU LISSU pamoja na njama zote za NEC, TISS na Polisi
Nimesoma Mara ya pili nilichoandika mwaka jana
 
Back
Top Bottom