prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 661
- 695
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais anaomba urais maajabu haya
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais anaomba urais maajabu haya
Umeongea pumba tupuEthiopia kuna maflyovers makubwa kuliko yaliyojengwa Dar es salaam
Kuna mradi mkubwa wa SRG kuliko yote barani afrika
Kuna shirika kubwa la ndege kuliko yote afrika, hayo ma dreamliner ya Magufuli zaidi ya mara ngapi sijui
Mradi mkubwa wa umeme 9000 megawatts wakati streigler gorge ni 2000
Kwa kuwa hayakuwa maendeleo ya watu leo hii kila mara wanakamatwa wakitaka kwenda SA kutafuta maisha bora
Labda wasiojulikana, sheria ya makosa ya mtandao, kuzuia siasa miaka 5, kuwatwanga wapinzani na yanonayofanana na hayo
By the way, angekaa nyumbani maana tume yake, polisi wake, msajili wa vyama wake woote na wengineo wanamfanyia kampeni vizuri tu, au siyo?
Kwa kichwa pumba chenye akili pumba kama chakoUmeongea pumba tupu
Huyu jamaa anapumzika sana , kwani kama afya hairuhusu si awaachie tu wenye afya zao washike madarakaRatiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Lame excuseAmbacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Hawa ni wale wanaojifariji humu jukwaani.Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Wanamuogopa kutokana na madudu waliyoyafanya , hivyo akiwapa kazi hawawezi kumkataliaAliwatukana wazee kwa kusema wanawashwa
Sasa labda awakune
Na kweli. Watanzania tumeona jinsi utawala wake ulivyoua watu, ulivyoteka watu, ulivyowapoteza watu, ulivyowabambikia watu kesi na jinsi ulivyowafukarisha na kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
JpmHii ni dalili ya kuwa Maji yamezidi unga!!!
Atawakumbuka sana Mzee Kinana na Nnepi Nauye lakini pia Marehemu Mzee Mkapa ambao 2015 walimfanyia kazi nzuri sana. Jamaa baada ya kuingia Ikulu tu wote 2 akawatosa kwa makosa ya kipuuzi kabisa.
This time Atakula JEURI YAKE!!
Hayo magoti anayopiga ni ya nini kama hahitaji kupoteza mda na resources zingine kwa 7bu atashinda tu?Magu hahitaji kupoteza muda wote na rasilimali kwa urais ambao ni wa kwake!
Magu hata asipopiga kura kabisa, atashinda tu
Miaka MI 5 ya magufuli watu wengi wamekamatwa kwa tuhuma za ugaidi kuliko Afghanistan na IraqNa kweli. Watanzania tumeona jinsi utawala wake ulivyoua watu, ulivyoteka watu, ulivyowapoteza watu, ulivyowabambikia watu kesi na jinsi ulivyowafukarisha na kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma Mara ya pili nilichoandika mwaka janaTufike mahali tuache Mungu afanye kazi yake. Magufuli afya mgogoro hawezi himili mikiki mikiki ya kampeni. Asilazimishe kukaa madàrakani wakati ni spanna mkononi, awapishe akina Tundu Lissu wenye afya zao waendelee na kutuongoza.
Unampiga mwenzio risasi 16, unapanga akazikwe kijijini kwao mara moja akisha kufa. Mungu anazuia anaepusha kifo. Then unashinikiza asionwe hospitali na wabunge wenzie, unamnyima kumlipia matibabu, unamnyima mshahara wake na mwishowe unamfukuza ubunge. Lakini bado Mungu anampigania mpaka anakuja kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania.
Na wewe mpigaji marisasi ndiyo una afya mgogoro kama vile unaishi Ward ya emergency ya Muhimbili. Siku 2 barabarani siku 4 mapumziko.
TUSIMCHEZEE MUNGU, Rais wa Tanzania kuanzia 29/ 10 ni TUNDU LISSU pamoja na njama zote za NEC, TISS na Polisi
Ulionya hawakusikiaYaani CCM akili zao ni tope tupu , kwa kuwa Jiwe Ni gari la mkaa linaenda gereji ndio mkaona mlazimishe na Lissu asifanye kampeni ushamba na ulimbukeni mbaya sana .View attachment 1588689