Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Habari ndiyo hiyo. Akitoka mapumzikoni atafanya mkutano mmoja Dar maeneo ya Kinondoni Biafra.
View attachment 1587926
Hii ni dalili ya kuwa Maji yamezidi unga!!!
Atawakumbuka sana Mzee Kinana na Nnepi Nauye lakini pia Marehemu Mzee Mkapa ambao 2015 walimfanyia kazi nzuri sana. Jamaa baada ya kuingia Ikulu tu wote 2 akawatosa kwa makosa ya kipuuzi kabisa.
This time Atakula JEURI YAKE!!
 
Magu hahitaji kupoteza muda wote na rasilimali kwa urais ambao ni wa kwake!

Magu hata asipopiga kura kabisa, atashinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…