Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Tuongeze na Wasanii wengi kuvutia idadi ya vichwa.Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuongeze na Wasanii wengi kuvutia idadi ya vichwa.Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
Mungu fundi engine imetema moto,na bado mpka kampeni ziishe uso utakua umeumuka kama putoHabari ndiyo hiyo. Akitoka mapumzikoni atafanya mkutano mmoja Dar maeneo ya Kinondoni Biafra.
View attachment 1587926
Dar magari ya kuwabeba mtatumia zile semi za kokoto ndio zinawatoshaNapendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
Hakuna anaejifariji.Mtajifariji sana mzee hana uwezo wa kampeni
Engine imetema moto,akicheza piston inatokea ubavuni halafu mambo yanakua bullbull[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Injin imechoka.
Maajabu alopewa ulemavu yeye ni kazi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini ajisumbue wakati kazi kawapa IGP na Mahela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Injin imechoka.
Maajabu alopewa ulemavu yeye ni kazi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasanii mnao wengi mnaweza kuwagawa kule na hukuNapendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
Kwani yeye ni wa kwanza kufanya kampeni akiwa rais, kwani Mkapa na Kikwete hawakufanya kampeni wakiwa marais hatukuwaona wakipumzika kwa siku 10.Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Unamtakia sio tunamtakia.Kupumzika ni jambo la msingi, tunamtakia mapumziko mema
Mkuu tumeona kampeni nyingi za uchaguzi mkuu ila ya mwaka huu kwa upande wa chama dola ,pumzi inakata,Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Hii ni dalili ya kuwa Maji yamezidi unga!!!Habari ndiyo hiyo. Akitoka mapumzikoni atafanya mkutano mmoja Dar maeneo ya Kinondoni Biafra.
View attachment 1587926
ccm wanilite show nyumbani kwangu nitawapa kura yanguKwenye show yenu wasanii wangapi watakuwepo? Mtaacha watoto waende shule au shule zitafungwa siku hiyo?