Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Kampeni za mwaka huu Rais Magufuli amerelax sana. Upinzani jipangeni muwe mnaleta upinzani kweri kwer na sio maneno ya mtandaoni tu.Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Ngoja akirudi utaona anavyopiga push-up za kufa mtu!Mtajifariji sana mzee hana uwezo wa kampeni
Huu uchaguzi yeye unamhusu nini?Huyo ni Wakili nguli wa Kimataifa anayetumika mpaka kwenye kesi za ICC- Mahakama ya Jinai ya Kimataifa.
Ni kweli kazi zinaendelea kabla, wakati wa kampeni, kupiga kura ,mpaka atakapo apishwa Rais!Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Hao ni mabeberu wa Lisu ambao wanataka kumuweka kibraka wao ili wawe wanaongoza nchi kwa kivuli cha baby wao!Jiulize hivi: Baada ya tweet ya Amsterdam kwa Mahera na IGP Ziro umewasikia kufurukuta tena?
Kama unataka kujua maana ya Mabeberu nenda Kisutu mnada wa machinjio ya Mbuzi utawakuta huko.
Amsterdam siyo beberu, wala Marekani, wala UK, wala Uholanzi wala Ujerumani, wala Jumuia ya Ulaya, wala Uingereza, France n.k.
Hawa wote ni washirika wetu Kimaendeleo and nothing more nothing less!!
Unalalamika?! Unashangaa?! Unashanngilia!? Unahoji?!?! Au unauliza?!
Sasa si wapunguze gharama kwa kuacha kutumia wasanii kwny kampeni zao mkuu?pesa inayotumika ipo juu kuliko makadilio mkuu ,pia timu ya kampeni inayokusanya watu mkoa mmoja, ndio inabidi iende mkoa mwingine kufanya michakato, ivyo inabidi ipate mda
Ww brother usimuombee mwenzako mabayaLeo usiku wa manane nimeota kuwa kuna mgombea urais fulani wa nchi fulani ya asali na maziwa amekuwa arrested by cardiac arrest!
Hapo zinatumika pesa za CCM kugharimia kampeni za Chama jamani!Ufujaji wa pesa za walipa Kodi.
Asipoongezewa?sio rais anaomba urais bali rais anaeomba kuongezewa muda wa urais.
Atatafuta kazi ya kufanya!Asipoongezewa?
Mabeberu siku nyingine yanatupa msaada wa Kutujengea vyoo,siku nyingine yanatupa msaada wa magari.Hao ni mabeberu wa Lisu ambao wanataka kumuweka kibraka wao ili wawe wanaongoza nchi kwa kivuli cha baby wao!
Hawatafanikiwa, oktoba tutawapiga mbele na nyuma wao pamoja na puppet wao.
Rafiki ilikuwa ni ndoto tu,kwani rafiki kuota ni kosa?Ww brother usimuombee mwenzako mabaya
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Mabeberu siku nyingine yanatupa msaada wa Kutujengea vyoo,siku nyingine yanatupa msaada wa magari.
Hayo ndio mabeberu bana.View attachment 1588066
Kwani yupo mapumzikoni au yupo oficin anaendelea na Kazi za Urais?Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Kwani ni mikoa mingapi hajaifikia? Kabakiza michache sana. Haizidi mitano. Na hiyo aliyobakiza wasaidizi wake walishaifikia. Tundu Lissu bado mikoa 20 hajafika na kwa muda uliobakia hataweza kuifikia mikoa zaidi ya 10 kabla ya kipenga cha mwisho kupulizwa.Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Hahah mabeberu hua yanatucheki tunavyoyatukana tu yanasema hiiiiiiiiiiii.Serikali ya CCM inapokeaje MISAADA YA MABEBERU? Jiwe anasema Tanzania ni tajiri sana na yenyewe ndiyo inatakiwa iwape misaada mabeberu....!!!
Jiwe bhana anachekesha Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!View attachment 1588074