Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Ana assignments kibao. Kuna ile report ya Congress ya Marekani. Kuna report za Tanzania Elections Watch. Kuna watu pia inabidi awagombeze kwa kushindwa kazi alizowapa🤣🤣. Kuna vikao na ma DED. Yaani mambo ni meeeengiiiiii...
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Kampeni za mwaka huu Rais Magufuli amerelax sana. Upinzani jipangeni muwe mnaleta upinzani kweri kwer na sio maneno ya mtandaoni tu.
 
Jiulize hivi: Baada ya tweet ya Amsterdam kwa Mahera na IGP Ziro umewasikia kufurukuta tena?
Kama unataka kujua maana ya Mabeberu nenda Kisutu mnada wa machinjio ya Mbuzi utawakuta huko.
Amsterdam siyo beberu, wala Marekani, wala UK, wala Uholanzi wala Ujerumani, wala Jumuia ya Ulaya, wala Uingereza, France n.k.
Hawa wote ni washirika wetu Kimaendeleo and nothing more nothing less!!
Hao ni mabeberu wa Lisu ambao wanataka kumuweka kibraka wao ili wawe wanaongoza nchi kwa kivuli cha baby wao!

Hawatafanikiwa, oktoba tutawapiga mbele na nyuma wao pamoja na puppet wao.
 
pesa inayotumika ipo juu kuliko makadilio mkuu ,pia timu ya kampeni inayokusanya watu mkoa mmoja, ndio inabidi iende mkoa mwingine kufanya michakato, ivyo inabidi ipate mda
Sasa si wapunguze gharama kwa kuacha kutumia wasanii kwny kampeni zao mkuu?
 
Hao ni mabeberu wa Lisu ambao wanataka kumuweka kibraka wao ili wawe wanaongoza nchi kwa kivuli cha baby wao!

Hawatafanikiwa, oktoba tutawapiga mbele na nyuma wao pamoja na puppet wao.
Mabeberu siku nyingine yanatupa msaada wa Kutujengea vyoo,siku nyingine yanatupa msaada wa magari.

Hayo ndio mabeberu bana.
Screenshot_2020-10-02-14-16-26-1.jpg
 
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.

Acha ubazazi weye.
Watanzania hawali Bombadier, hawali Flyover, hawali SGR wala hawali Stieglers Gorge.
Watanzania wanataka MAENDELEI YAO NA SI maendeleo ya VITU!
Natilia shaka sana kama unanielewa!!!.
 
Mabeberu siku nyingine yanatupa msaada wa Kutujengea vyoo,siku nyingine yanatupa msaada wa magari.

Hayo ndio mabeberu bana.View attachment 1588066

Serikali ya CCM inapokeaje MISAADA YA MABEBERU? Jiwe anasema Tanzania ni tajiri sana na yenyewe ndiyo inatakiwa iwape misaada mabeberu....!!!
Jiwe bhana anachekesha Sana 🤣🤣🤣!!!
2537392_Screenshot_2020-10-02-14-16-26-1.jpg
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Kwani ni mikoa mingapi hajaifikia? Kabakiza michache sana. Haizidi mitano. Na hiyo aliyobakiza wasaidizi wake walishaifikia. Tundu Lissu bado mikoa 20 hajafika na kwa muda uliobakia hataweza kuifikia mikoa zaidi ya 10 kabla ya kipenga cha mwisho kupulizwa.

Yaani kama ni mbio za marathoni Tundu Lissu yuko maili elfu moja nyuma ya Tinga Tinga. Inabidi asubiriwe asogee kidogo. Ni mkakati wa kisayansi kumsubiri aropoke tena mauwongo yake mengine ili baadaye yakafumuliwe.
 
Serikali ya CCM inapokeaje MISAADA YA MABEBERU? Jiwe anasema Tanzania ni tajiri sana na yenyewe ndiyo inatakiwa iwape misaada mabeberu....!!!
Jiwe bhana anachekesha Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!View attachment 1588074
Hahah mabeberu hua yanatucheki tunavyoyatukana tu yanasema hiiiiiiiiiiii.

Hapo beberu likiwa pembeni ya bango likisema tu hiiiiiii mayoooooooooo.
Screenshot_2020-10-02-14-36-53-1.jpg
 
Back
Top Bottom