richard kaswalala
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 246
- 134
Kwa kweli watu ni wengi na hawajafika, patakuja kujaa sana wakifika
Ulete zilizopigwa kwa juuTulia, tulia, tuliaaaaaaa Leo ni kufru sheikh
Kama Meko kazuia tv mnashindwa nini na teknoljia yote hii?Mwambieni Meko aruhusu TV ziwe huru.Ona sasa watu mnapata taabu kupata habari
Hebu tulia mkuuKunguru wa kike wapi tuliwahi kuaibika?
Polisi wamefuata sera au wamekuja kufanya nini mkuuHapatoshi hapa uwanjani, polisi wamwemwagwa lakini hatuogopi kitu
Hujakosea kijanaMbona kama kikao cha kifamilia
Maagizo toka juu mkuuPolisi wamefuata sera au wamekuja kufanya nini mkuu
Wanazuia watu auMaagizo toka juu mkuu
Wataanzia wapi kwa mfanoWanazuia watu au
Mkuu huko uwanjani hauna watu wako kutuletea picha tuyakomeshe ma CCMArusha mechi ya simba bure, pia wameweka tamasha la muziki bure lakini viwanja vya reli kwa Lissu tumetisha,
Picha kamanda , weka na picha pia wakiwa wanatembeza mabakuli πArusha mechi ya simba bure, pia wameweka tamasha la muziki bure lakini viwanja vya reli kwa Lissu tumetisha,
Ntaleta mkuu Tuliza β½, nipo kiwanjan, chezea Bushmamy weyeMkuu huko uwanjani hauna watu wako kutuletea picha tuyakomeshe ma CCM
Umetoa sh ngap hadi sasaPicha kamanda , weka na picha pia wakiwa wanatembeza mabakuli π
Mkuu huko uwanjani hauna watu wako kutuletea picha tuyakomeshe ma CCM
Wanakwepa viwanja vikubwa sikuhizi wanakimbilia vichochoroni.Wanatafuta picha za mafuriko ya Lowasa. Wekeni na picha za drone
No hate No fearHapatoshi hapa uwanjani, polisi wamwemwagwa lakini hatuogopi kitu