Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #681
Nje ya mada hatuhangaiki na wewe , tumekushitAngalia picha mojawapo hapo, Lissu akiona mtu mweupe anachanganyikiwa! Mwangalie! ingekuwa zamani kidogo ange mkingia mgongo ambebe huyo mzungu!
Hamuoni mzungu kama ni mtu wa kawaida! Slavery mind!
Sikumaliza la darasa la Awali ila ulicho ni quote, hata wa darasa la chini yangu huwezi kumpotosha.
Nashukuru kuni nukuu
I think weakness ya Magufuli ni Mandege, I really though he is done with mandege this term, and will invest in people next term, the fact that he mentioned he will buy more ndeges in the next term, makes you think other things that have direct impact on his people are not priority to him, upinzani tumieni simple language wananchi waelewe hili
Kaombe tbcccm wanayo.naomba aerial photo mkuu
Powerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?
Uchumi unapaa. Unaona ajabu gani wakati tupo uchumi wa kati.Kwamba wananchi hawana 5,000 ila haohao wananchi inasemekana wana smart phone na wanahela ya kununua bando na kufuatilia mikutano ya kampeni online.
Hivi Ndio vituko vya siasa Za Tanzania.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
At least umeadmit Nyomi la leo huko Arusha pamoja na mpira na tamasha la muziki la bure la CCM ....!!Sio walikpwa posho na nauli kufika mkutanoni.Hao bodaboda unaowaona wamelipwa na Lema sio Lisu
Halafu Lisu kwenye sera anasema atapunguza misafara ya Raisi ona Happ pikipiki zikizoko kwenye msafara wake Ni nyingi kuliko za msafara wa Raisi Magufuli
Lisu kwa fix na uongo hajambo
Kila mahali kunakuwepo wajinga wachache kama ambavyo wewe kwenu ndio mjinga. Kwani hao madiwani wajinga ndio wananchi wote wa kaskazini wewe inzi wa kijani?Huko kaskazini unakowakubali mlijiuza madiwani na wabunge wangapi? Usiseme vitu bila kuwa na takwimu we nyumbu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
We Acha tu best, nilishindwa kupiga picha za kutosha maana umati ulikuwa sio mchezo, hata kushika simu shida.Hebu mtuambie Basi huko dah
I was there to witness, kuna muamko but the following is my observation:
There are many reasons we would be wrong to expect Chadema to win this election, its a wrong expectations, however. First, the electorate is not entirely stable.
Each generation of voters ( 1995-2015 one generation) has been a bit different from the last (1975- 1995 one generation).
It sometimes happens that over a series of elections, parties may be unable or unwilling to adapt their positions to broader socio-demographic or economic forces. Parties need to be aware of when society changes.
If leaders refuse to recognize that public opinion has changed, the party is unlikely to win in the next election. Groups that have felt that the party has served their causes in the past may decide to look elsewhere if they feel their needs are no longer being met.
Either way, the CHADEMA party system have been upended as a result of a party realignment, or shifting of party allegiances within the electorate
Asante sana mkuu, Yan difenda zilikuwa sio za nchi hii, sijui waliogopa nini, nilikuwa pale Yan hata Lema na Salim mwalimu walishangaa kuona Ule umati maana hawakutegemeaShikamoo wakazi wa Arusha. Kwa kweli nimewaheshimu. Mnajitambua!
Ahaaa sawa mkuuMkuu tupo MMU, weka mafile yako secret hapa utupe faida. Nakuaminia.
Yani hiyo list yote ni wasanii reject wa chuga hawana ushawishi hata unga ltd. Inshort huyo dc kaliwa pesa yake wahuni leo wanaenda kunywa k.vant kubwa badala ya kupima za jero-jero.kilosaaa edgar ndomino,spark dawg stopa ghost ndeziii na wa mwituni wengine alaf ikabuma sasa,wana vimavi atari uyo dc angejua aina ya watu anaojihusisha nao iyo kibunda angeenda toa kwa yatima na wamama wajane tu apate ata thawabu
Love kesho Jion ntakucheki mpendwa, Tupo pamojaHebu mtuambie Basi huko dah
Risasi huwa wanapigwa marafiki? Marafiki wanawaweka wenzao kwenye viroba vya sulphate? Hayo mafuvu yenu yaliyojaa kamasi ni bora yapasuke tu mpumzike. Mnaleta ushindani kwenye oksijeni bure tu.Mwenye uaduni ni wewe na wenzako, sisi wengine hatuna muda wa wanasiasa waongo tupu
They will count you the secondRisasi huwa wanapigwa marafiki? Marafiki wanawaweka wenzao kwenye viroba vya sulphate? Hayo mafuvu yenu yaliyojaa kamasi ni bora yapasuke tu mpumzike. Mnaleta ushindani kwenye oksijeni bure tu.
Keep on dreaming! What is your opinion about Magufuli running away from FREE AND FAIR ELECTIONS?
View attachment 1554764