Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Ndugu yangu BAK, je umeelewa chochote alichoandika huyu kilaza Gerald .M Magembe? Mtu Kiingereza hajui, Kiswahili hajui na si ajabu hata Kilugha hajui...yaani ni jamii ile ile! Na hapa anadai eti alifukuzwa UDSM, really? Sikujua UDSM ya leo inapokea vilaza kama hawa...it's no wonder hii awamu imehatamiwa na washamba na limbukeni katika nyanja zote, masikini nchi yangu Tanzania!
Analysing political events is much different to how you solve mathematical equation. Unless we are not exchanging the views rather we are competing.Oh! God! Did you see the simple question that I ask you!? 😳😳😳
I don’t need to read this newspaper I don’t have time for reading this just answer my simple question please!
Hao 300 ni Wakenya?Kwenye hiyo picha,nimehesabu watu waliopo kati ya Lissu na Mwalim wanafika 300.nikongeza ziada watu 100 kufidia kama kuna wengine sikuwahesabu.
sasa nyinyi wanyanyembe Chadema kweli mgombea urais mnapata watu wachache kiasi hiki,mmewakosea nini watanzania mpaka wameamua kuwasusa?
Watu walihustle sana kumtafutia publicity kwa vyombo vya habari huyu mtu 2015, hali ilikuwa ni mbaya, vyombo vya habari vilikuwa vinaignore habari zake, camera zao walizielekeza zote kwa Lowasa, zilibidi zifanyike juhudi za makusudi aandikwe, Leo hii amewageuka wanahabari kama hawajui vile! Shame on him.
Magembe shida yako ni nini labda ili usaidiwe ? kwa sababu katika wanaccm wewe haumo , sasa mbona unatoka jasho sana ?Mkuu nitashukuru sana kama utakuwa ukini saidia kuelewa vizuri kiingereza, Nipo tayari kujifunza mpaka nakufa.
Mkutano wa wabunge CCM tarime unazidi wa T Lisu ArushaAisee bora makelele ya TAL kuliko stori za jiwe, kila siku ni hizo hizo!
What exactly did you want to say here? Could you try and translate it into English please?Analysing political events is much different to how you solve mathematical equation. Unless we are not exchanging the views rather we are competing.
Aisee wacha tu TL vyombo vya ndani vifungiwe kw akuripoti habari zake. Yaani kama visingezibw a mdomo Magufuli naona angefunba masikio. Maana habari zote ni Lissu Tu.Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
View attachment 1553923
UPDATES :
View attachment 1554103View attachment 1554104View attachment 1554105
View attachment 1554315
View attachment 1554745View attachment 1554746View attachment 1554747
UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Kwa hiyo Chadema ni Baba Lao??Mkutano wa wabunge CCM tarime unazidi wa T Lisu Arusha
Haelewi hata anaongea nini mradi tu katema maneno heheheeWhat exactly did you want to say here? Could you try and translate it into English please?
Hama nchi akingia ikulu ndio salama yako. Lissu hakwepeki kwa sasa.Chadema inaonekana kama kagenge flan ka wahalifu , waendelee Tu kumpa pressure JPM ili atambue wajibu wa kuwa kiongozi wa juu wa nchi cse still mwamba ni far better, ila kumpa uraisi TL itakuwa mistake ya Karne and should fill it with a terrible resolve
Kwa siku moja sio mbaya kumsikiliza Rais ajayeKwa hio umefurahi wananchi mnaowaomba kura kukosa huduma kwenye muda wa kazi?
iko waziHama nchi akingia ikulu ndio salama yako. Lissu hakwepeki kwa sasa.
TV zinaogopa kutoa matangazoAibu itafuatana na CHADEMA.
Kweliiiii. Kura kwa TALTundu Lissu ndiyo habari ya mjini
Yaani ukiangalia hilo kundi la askari wetu hapo ni kama wanamsikiliza mtu wa jukwaani anawapa habari kupitia mitandao ya kijamii kinachoendelea viwanja vya relini.Lumumba waliweka na mechi ya simba hakuna kiingilio Leo ili wapunguze watu kwa lisu imeshindikana uwanja mtupuView attachment 1554807