EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Bus lolote lenye sehemu ya kuchaji simu njia nzima hata siku mbili simu haiishi chaji.
Kitu cha kwanza huwa nauliza na kupeleleza bus lipi naweza chaji simu na kwa kawaida bus hilo linakuwa la kiwango cha kati.
Tanga kuna moudy na Nacharo
Mnisaidie Dodoma kuna bus gani lina huduma hilo? (msinitajie shabiby lile la 40,000 itakuwa matumizi mabaya ya pesa) Njia ya Arusha pia ningependa kufahamu.
Mambo ya kusafiri kuzima zima data sitaki.
Bei zikoje mkuuTuanze na Frester Bukoba to Mwanza, Bukoba to Dar. Tuje Kampuni ya Friends Kampla to Mwanza, Kampala to Dar tuje Isamilo Bukoba to Mwanza, Mwanza to Kampala.
Dar- Mbeya kuna SAULI, ELSAED, DAR LUX NA HAPPY NATIONDar-Dodoma ,ABC,kimbinyiko na shabiby
Dar-musoma, JM luxury
Dar-Arusha, kilimanjaro Express
Dar-mwanza, Allys star,isamilo.
Dar-mbeya ,hakuna gari za maana huko
Dar-iringa, ABC, deluxe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilishatokea tena siku walisimamisha abiria kama kwenye daladala.Hawa moudy sina hamu nao aisee, tumeanza safari pale stendi (Kange) saa saba na nusu mchana tunakuja kuingia dar saa tatu usiku. Kusimama simama kila mara halafu na mwendo halina.
Dodoma to DSM au ?!Bus lolote lenye sehemu ya kuchaji simu njia nzima hata siku mbili simu haiishi chaji.
Kitu cha kwanza huwa nauliza na kupeleleza bus lipi naweza chaji simu na kwa kawaida bus hilo linakuwa la kiwango cha kati.
Tanga kuna moudy na Nacharo
Mnisaidie Dodoma kuna bus gani lina huduma hilo? (msinitajie shabiby lile la 40,000 itakuwa matumizi mabaya ya pesa) Njia ya Arusha pia ningependa kufahamu.
Mambo ya kusafiri kuzima zima data sitaki.
Kimbinyiko nimepanda hakuna usb port shabiby nilipanda pia halina.Dodoma to dsm au ?!
Napenda 1.ABC
2.kimbinyiko
3.nitaweka shabiby sio lazima upande la 40 semu luxury yapo
4.sjui ndo nitaanza kuwapa nika machame na wengine
Ungeshuka ukatembea mkuu😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilishatokea tena siku walisimamisha abiria kama kwenye daladala.
Wanaokota sana njiani.
Ni ubunifu tu nilipanda OSAKA la Bukoba tena chakavu na wameweka USB.Kimbinyiko nimepanda hakuna usb port shabiby nilipanda pia halina.
Labda A. B. C sijapanda.
Haya mabus wanayojiita ya kisasa sijui luxury hayaoni umuhimu wa hivo?
Unapenda ligi au unapenda kufika mapema?Gari lolote linalochapa barabara mpaka king'amuzi kinapiga kelele.