blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Sana mkongwe huyu hana papara kbcwapo vizuri hao jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkongwe huyu hana papara kbcwapo vizuri hao jamaa
Shida ni Mwanza to Mbeya, gari zote ni makopo tu
Hii route huwezi peleka Yutong au Zongtong utapata hasara tu huko peleka Gari Ila engene ya Scania hii route Ina Gari mbovu nyingi Sana sio Isamilo Wala Premier kidogo alikuwepo Super Samy alikuwa na Gari Mzuri Sijui Yuko wapi sikuhiziShida ni Mwanza to Mbeya, gari zote ni makopo tu
Hivi dar chuga nauli inacheza kwenye ngapi?Jamani mimi sijawahi panda basi tofauti na hili toka nianze safari za dar chuga,dar rombo.View attachment 1482358
33000 mpk 35000Hivi dar chuga nauli inacheza kwenye ngapi?
JM yenyewe tajiri anaitwa joel mabiba ni wa mbeyaDar-Dodoma, ABC, Kimbinyiko na Shabiby
Dar-Musoma, JM luxury
Dar-Arusha, Kilimanjaro Express
Dar-Mwanza, Allys star, Isamilo.
Dar-Mbeya, hakuna gari za maana huko
Dar-Iringa, ABC, Deluxe
Basi za sasa hivi hazina mzuka hata jake brake hazina (hasa mchina)hii haikubaliki yaani coaster iwe nayo basi kubwa haina!Dar-Mbeya (Classic/Golden Deer/Nganga)
Mpanda-Kigoma (Adventure )
Dar-Korogwe (Burdan Tosha)
Dar-Tanga (Tawaqal/Tashrif)
Tanga-Kipumbwi (Moa Royal Class)
Mwanza-Kigoma (Adventure/Saratoga)
Dar-Songea (Selous/Tavavil)
Vigezo gari iwe:-
1.Terias au itumie busta
2.Seat 2×2
3. Dereva mahiri awe anapiga changedown za kutosha, engine braking kwa Nissan Diesel UD au Scania stop engine/Jacob brake za kutosha kwenye down na njonjo kibao za kuinyumbulisha basi. Sio dereva miguu mizigo kama Lukaku, wakati wa kuchange gear mpaka abiria unasikia brake anakanyaga kama anaua mdudu.
Hiyo Kilimanjaro express imebaki jina tu gari zao zimechokaDar-Dodoma, ABC, Kimbinyiko na Shabiby
Dar-Musoma, JM luxury
Dar-Arusha, Kilimanjaro Express
Dar-Mwanza, Allys star, Isamilo.
Dar-Mbeya, hakuna gari za maana huko
Dar-Iringa, ABC, Deluxe
Basi kubwa saizi hawatumii teknolojia ya stop engine/Jacob Brake saizi kuna Retarder.Basi za sasa hivi hazina mzuka hata jake brake hazina (hasa mchina)hii haikubaliki yaani coaster iwe nayo basi kubwa haina!
MfalmeJamani mimi sijawahi panda basi tofauti na hili toka nianze safari za dar chuga,dar rombo.View attachment 1482358
Huduma zao zimekuwa nzuri? Kuna wakati magari yao yalikiwa yanaharibika sana njiani na walikuwa hawaondoki kwa wakatiDar lux Mwanza -Dar , ile kampuni acha kabisa kila kiti usb chaji ..... Siti ni 2 by 2 huwa nikikuta limejaa naairisha kabisa safari
Kwa DAR-TANGA Simba mtoto hana mpinzani kwa sasa na Scania zake mpya, shilingi 16000 tu ndiyo bei yake ya juu. Ndiyo gari inayowahi kufika kuliko zote,Dar-Mbeya (Classic/Golden Deer/Nganga)
Mpanda-Kigoma (Adventure )
Dar-Korogwe (Burdan Tosha)
Dar-Tanga (Tawaqal/Tashrif)
Tanga-Kipumbwi (Moa Royal Class)
Mwanza-Kigoma (Adventure/Saratoga)
Dar-Songea (Selous/Tavavil)
Vigezo gari iwe:-
1.Terias au itumie busta
2.Seat 2×2
3. Dereva mahiri awe anapiga changedown za kutosha, engine braking kwa Nissan Diesel UD au Scania stop engine/Jacob brake za kutosha kwenye down na njonjo kibao za kuinyumbulisha basi. Sio dereva miguu mizigo kama Lukaku, wakati wa kuchange gear mpaka abiria unasikia brake anakanyaga kama anaua mdudu.