Iwe Kampuni ya mabasi ya kutoka mkoa ulipo kwenda mikoa mingine au safari za ndani ya mkoa.
- Zipo kampuni mpya zinakimbiza mbaya sana.
- Zipo kampuni za zamani bado zinatesa.
- Achana na zile zinazochechemea
Vigezo viwe:-
- Huduma zilotewazo na hayo mabasi
- Upya wa mabasi
- Nauli
Hii itasaidia memba wanaotarajia kusafiri kufanya uchaguzi sahihi kulingana na bajeti zao.
Fungukeni wadau.
Ukiachana na nauli elekezi za sumatra nauli bado zipo chini na za ushindani kwa mabasi husika, tufungue macho kwenu basi gani kali?