Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

tulikuachi
Nimesoma comments zote sijaona majina ya akina Kiazi kitamu, Sai baba, Arusha Express, Gracious, Rungwe Express, Majinja, Haji's, Hood n.k
Vipi wadau wa hizi kampuni hampo??
a wewe mkuu uwe na cha kuchangia sio msomaji tu
 
Shida ni Mwanza to Mbeya, gari zote ni makopo tu
Hiyo route inazunguka mtera ni ndefu so hakuna gari za maana hata mbeya arusha..ila barabara ya kwenda tabora ikikamilika itapunguza umbali kwa hiyo gari nzuri zitakuja na kutoka mbeya to mwanza/arusha/moshi/kahama/musoma bus zitatoboa badala ya kulala njiani..kuweni wapole bado kipande cha kama km 300 hivi lami kukamilika na uzuri hii njia ina mlima 1 tu
 
Mbeya-- arusha new force alijaribu akaondoa gari mwenyewe bila kupenda maana gari zilianza kuchoka mapema tu.
Akaweka mfumo wa kupokezana ila still haikusaidia. Moja inatoka mbeya hadi chalinze, then mnashuka inapokea nyingine hadi arusha. Bado haikufaa akaamua azipeleke dar moro.

Akajaribu Kiazi kitamu nayeye ruti ikamtoa roho akakimbilia Mwanza sijui Kigoma. [emoji16]
 
Kidia one - Dar to Mwanza
Isamilo - Mwanza to Dar
Mghamba-Chuga to Mwanza.

Ila funga kazi ipo Dar to Mbeya,Kahama to Dar na Kagera to Dar.huko ndo kuna madereva ambao hawana nafsi.
Ni wazi hujaenda mbeya au ulipanda basi bovu...
 
Kimbinyiko nimepanda hakuna usb port shabiby nilipanda pia halina.

Labda A. B. C sijapanda.

Haya mabus wanayojiita ya kisasa sijui luxury hayaoni umuhimu wa hivo?
Nunua simu inayokaa na chaji mkuu...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Bus lolote lenye sehemu ya kuchaji simu njia nzima hata siku mbili simu haiishi chaji.

Kitu cha kwanza huwa nauliza na kupeleleza bus lipi naweza chaji simu na kwa kawaida bus hilo linakuwa la kiwango cha kati.
Tanga kuna moudy na Nacharo

Mnisaidie Dodoma kuna bus gani lina huduma hilo? (msinitajie shabiby lile la 40,000 itakuwa matumizi mabaya ya pesa) Njia ya Arusha pia ningependa kufahamu.

Mambo ya kusafiri kuzima zima data sitaki.
We kitunguu kweli akili zako finyu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mbeya-- arusha new force alijaribu akaondoa gari mwenyewe bila kupenda maana gari zilianza kuchoka mapema tu.
Akaweka mfumo wa kupokezana ila still haikusaidia. Moja inatoka mbeya hadi chalinze, then mnashuka inapokea nyingine hadi arusha. Bado haikufaa akaamua azipeleke dar moro.
Route ya Arusha-Mbeya via Chalinze amebaki Hood Limited peke yake kwa sasa.
 
Back
Top Bottom