ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nilikosea Mbeya to arusha via makongolosi-Rungwa ni km 935 wakati mbeya to Arusha via mtera-dodoma ni km 1015 tofauti ya km 85300 km ni kutoka wapi hadi wapi?
Labda- sababu hesabu zinagoma.
Vipi kuhusu Rungwa hadi Ipole?
Pia mbeya to mwanza via Tabora ni km 925 wakati ukipitia mtera dodoma ni km 1295 tofauti ya km 370..Hivyo barabara ya chunya ni shortcut sana kutokea Mbeya kwenda mikoa yote ya kaskazini na ziwa..Na uhakika hii barabara ikikamilika kutakuwa na usafiri wa moja kwa moja wa mabasi kutoka mbeya -Kahama-Geita.Mbeya-musoma via bariadi/simiyu,,mbeya -bukoba,mbeya -moshi via arusha