Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

Mbeya-- arusha new force alijaribu akaondoa gari mwenyewe bila kupenda maana gari zilianza kuchoka mapema tu.
Akaweka mfumo wa kupokezana ila still haikusaidia. Moja inatoka mbeya hadi chalinze, then mnashuka inapokea nyingine hadi arusha. Bado haikufaa akaamua azipeleke dar moro.
saizi hazipiti chalinze bali njia ya mtera
 
Hakuna similarities hii ni red huku ni green ,je unafamu golden dragon bongo zinakuja na rangi moja (white) so ukiamua unaweza acha white or uka change
ngoja ntakuletea picha ya frester ya New force
 
Bus lolote lenye sehemu ya kuchaji simu njia nzima hata siku mbili simu haiishi chaji.

Kitu cha kwanza huwa nauliza na kupeleleza bus lipi naweza chaji simu na kwa kawaida bus hilo linakuwa la kiwango cha kati.
Tanga kuna moudy na Nacharo

Mnisaidie Dodoma kuna bus gani lina huduma hilo? (msinitajie shabiby lile la 40,000 itakuwa matumizi mabaya ya pesa) Njia ya Arusha pia ningependa kufahamu.

Mambo ya kusafiri kuzima zima data sitaki.
Mkuu Basi la tanga Maud liko vizuri sana.baba lao a.ka. mwakinyo ni Basi lenye utulivu wa hali ya juu
 

Attachments

  • IMG-20200611-WA0006.jpg
    IMG-20200611-WA0006.jpg
    72.9 KB · Views: 4
kuna kitu inaitwa frester Dar kahama ni shida Dodoma ukizubaa inakuacha njiani ni shida
 
Mza - Mbeya Kuna Mnyama Kapricon Anaamsha Kinyama Isamilo, Premier & Fikoshi Hoi
 
Basi tukubaliane kwamba wamenunua mabasi used ya NF

Mkuu we ni mbishi sana hizi ni model mpya ya zhongtong na tangu lini new ameuza new model ya hizo basi kama used maana ni series ya DPK
IMG_8728.JPG
IMG_8729.JPG


Bus used alizonunua ni za mohamed trans ziko uko kanda ya ziwa
 
Hiyo route inazunguka mtera ni ndefu so hakuna gari za maana hata mbeya arusha..ila barabara ya kwenda tabora ikikamilika itapunguza umbali kwa hiyo gari nzuri zitakuja na kutoka mbeya to mwanza/arusha/moshi/kahama/musoma bus zitatoboa badala ya kulala njiani..kuweni wapole bado kipande cha kama km 300 hivi lami kukamilika na uzuri hii njia ina mlima 1 tu
300 km ni kutoka wapi hadi wapi?
 
Back
Top Bottom